Ndio
Hapana
Futa
Tafadhali subiri…
Hifadhi
Kidokezo kwake mwenyewe
Ujumbe mpya
Signal inasasishwa…
Hivi sasa: %s
Bado haujaweka sisitizo.
- 1%d meseji kwa mazungumuzo
- %d Ujumbe kwa kila mazungumzo
Futa jumbe zote za zamani sasa?
- Hii, itafupisha mazungumzo zote, meseji ya mwisho zitaishi.
- Hii, itapunguzaa mara moja mazungumzo yote hadi %d ya jumbe za hivi karibuni.
Futa
Lemaza ufafanuzi
Hii itafungua kabisa Signal na arifu za ujumbe
Lemaza
Usajili unaghairiwa
Usajili unaghairiwa kutoka jumbe za Signal na simu
Lemaza jumbe za Signal na simu?
Lemaza jumbe na simu za Signal kwa kutosajili kutoka kwenye seva. Utatakiwa kusajili tena numberi yako ya simu ili uzitumie tena baadae.
Hitilafu kuunganisha kwa mtambo.
Ujumbe mfupi wa simu umewezeshwa
Gusa kubadili mpangilio msingi wa App ya jumbe
Ujumbe mfupi umelemazwa
Gusa kufanya Signal mpangilio msingi wa App ya jumbe
Washwa
Washwa
Zima
Zima
Ujumbe mfupi wa simu %1$s, Ujumbe mfupi wa picha %2$s
Kifunga skrini%1$s, Kifunga usajili %2$s
Mandhari %1$s, Lugha %2$s
- dakika %d
- dakika %d
(picha)
(sauti)
(video)
(eneo)
(jibu)
Haiwezi kupata programu ya kuchagua media
Signal inahitaji idhini ya Hifadhi ili kuunganisha picha, video, au sauti, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye orodha ya mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezesha \"Hifadhi\".
Signal inahitaji idhini ya Mawasiliano ili kuunganisha maelezo ya mawasiliano, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye orodha ya mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Mawasiliano\".
Signal inahitaji ruhusa ya Eneo ili kuunganisha mahali, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye orodha ya mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Eneo\".
Signal inahitaji ruhusa ya Kamera ili kuchukua picha, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye orodha ya mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kamera\".
Media inapakiwa…
Video inafinyazwa…
Hitilafu ya kucheza sauti!
Anwani zilizozuiliwa
Leo
Jana
Wiki hii
Mwezi huu
Kubwa
Wastani
Ndogo
Simu inaingia
Imeshindikana kuhifadhi picha
Gusa ili upate picha, shikilia ili upate video
Piga
Geuza kamera
Fungua kitunzio
Mawasiliano ya hivi karibuni
Mawasiliano ya Signal
Makundi za Signal
Unaweza kushiriki na upeo wa %dwa mazungumzo.
Chagua wapokeaji wa Signal
Hakuna mawasiliano ya Signal
Unaweza kutumia kitufe cha kamera kutuma picha kwa mawasiliano ya Signal.
Huwezi kumpata unayemtafuta?
Alika mwasiliani wako ajiunge na Signal
Tafuta
Ondoa
Ondoa picha ya wasifu?
Hakuna kivinjari kilichopatikana.
Simu ya mkononi tayari inapigwa sasa hivi.
Anza upigaji simu wa video?
Anza upigaji simu wa sauti?
Ghairi
Piga
Nambari yako ya usalama ya 1 %1$s imebadilika. Hii inamaanisha kuwa aidha kuna mtu anajaribu kuingilia mawasiliano yako, ama tu 2 %2$s amesimiza upya Signal.
Ungependa kuthibitisha nambari yako ya usalama na anwani hii.
Kubali
Gumzo za hivi karibuni
Mawasiliano
Makundi
Utafutaji wa nambari ya simu
Utafutaji wa jina la mtumizi
Ujumbe %s
Simu ya Signal %s
Jina ulilopewa
Jina la ukoo
Kiambishi awali
Kiambishi tamati
Jina la katikati
Nyumbani
Simu
Kazi
ingine
Mawasilianao yaliyochaguliwa sio sahihi
Imefeli kutuma, gusa kwa taarifa
Umepokea ujumbe mkuu uliobadilishwa, gusa kuendelea na mchakato
%1$s ameondoka kwenye kundi
Imefeli kutuma, gusa kwa isiyo salama ili kurejea nyuma
Rudi nyuma kwa ujumbe usio na msimbo fiche?
Rudi nyuma kwa ujumbe usio na msimbo fiche?
Huu ujumbe hau ta kuwa na msimbo fiche kwa sababu mpokeaji hatumii tena Signal.\n\n Tuma ujumbe usio salama?
Haiwezi kupata programu inayoweza kufungua media hii.
nakala 1%s
kutoka %s
kwenda %s
Soma Zaidi
Pakua Zaidi
Inasubiriwa
Seti upya kipindi salama?
Hii inaweza kusaidia kama una matatizo ya usimbuaji fiche kwenye gumzo hili. Jumbe zako zitahifadhiwa.
Seti upya tena
Ongeza Kiambatanisho
Chagua taarifa za mawasiliano
Tunga ujumbe
Samahani, hitilafi ilitokea kwenye kuweka kiambatanisho chako.
Mpokeaji sio anwani sahihi ya Ujumbe au barua pepe!
Ujumbe ni mtupu!
Wanachama wa kikundi
Mpokeaji sio sahihi!
Imeongezwa kwenye skrini ya mwanzo
Simu hazikubaliki
Kifaa hiki hakionekani kuwezesha matendo ya kupiga
Ondoka kwenye kundi
Una uhakika unataka kuondoka kwenye kundi hili?
Ujumbe usio salama
MMS isiyo salama
Signal
Wacha tubadili kwa Signal 1%1$s
Hitilafu kuondoka kwenye kundi
Tafadhali chagua mawasiliano
Ondoa kizuizi kwa mawasiliano haya?
Ondoa kizuizi kwa kundi hili?
Utaweza kupata tena jumbe na simu kutoka kwa anwani hii.
Wanachama waliopo wataweza kukurudisha kwenye kundi tena
Fungua
Kiambatisho kimezidi ukubwa wa aina ya ujumbe unaotuma
Kamera haipatikani
Haiwezi kurekodi sauti!
Hakuna programu ya kuweza kushughulikia kiungo hiki kwenye kifaa chako
Kutuma jumbe za sauti, ruhusu ufikiaji wa Signal kwenye kipaza sauti chako.
Signal inahitaji idhini ya Kipaza sauti ili kutuma ujumbe wa sauti, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kipaza sauti\".
Kupiga %s, Signal inahitaji ufikikiaji kwa kipaza sauti chako na kamera.
Signal inahitaji ruhusa ya Kipaza sauti na Kamera ili kupiga%s , lakini zimekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kipaza sauti\" na \"Kamera\".
Ili kupiga picha na video, ruhusu ufikiaji wa Signal kwa kamera.
Signal inahitaji kibali cha Kamera kuchukua picha au video, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kamera\".
Signal inahitaji ruhusa ya kamera kuchukua picha na video
Wezesha ruhusa ya kipaza sauti kiweze kunasa video za sauti.
Signal inahitaji ruhusa za kipaza sauti kurekodi video, lakini imekataliwa. Tafadhali enda kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kipaza Sauti\" na \"Kamera\".
Signal inahitaji ruhusa za kipaza sauti ili kurekodi video.
%1$s %2$s
Signal haiwezi kutuma jumbe za SMS au MMS kwa sababu sio programu chaguo-msingi ya SMS. Unataka kubadilisha mipangilio ya Android?
Ndio
Hapana
%1$d kwa %2$d
Hakuna matokeo
Pakiti ya vibandiko imesakinishwa
Mpya! Iseme kwa vibandiko
- %d majumbe haijasomewa
- %d Jumbe hazijasomwa
- Futa ujumbe uliochaguliwa?
- Futa jumbe zilizochaguliwa?
- Hili litafuta daima ujumbe uliochaguliwa.
- Hili litafuta daima ujumbe wote %1$d uliochaguliwa.
Hifadhi kwa hifadhi?
- Kuhifadhi media hii kwenye kumbukumbu kutawezesha programu nyinginezo kwenye kifaa chako kuifikia.\n\nEndelea?
- Kuhifadhi media %1$dyote kutawezesha programu nyinginezo kwenye kifaa chako kuzifikia.\n\nEndelea?
- kosa wakati wa kuhifadhi kiambatisho kwenye stoo
- Hitilafu katika kuhifadhi ambatanisho kwa hifadhi.
Imeshindwa kuhifadhi kwa kuhifadhi
- Inahifadhi kiambatisho
- Inahifadhi viambatisho %1$d
- Inahifadhi kiambatisho kwenye ghala…
- Inahifadhi viambatisho %1$dkwenye ghala…
Subiriwa…
Data (Signal)
Ujumbe wa picha
Ujumbe wa maneno
Kufuta
Inafuta jumbe
Ujumbe halisi haupatikani
Ujumbe halisi haupo tena
Imeshindwa kufungua ujumbe
Unaweza kusongeza kidole kwa upande wa kulia kwa ujumbe wowote ili kujibu haraka
Unaweza kusongeza kidole kwa upande wa kushoto kwa ujumbe wowote ili kujibu haraka
Faili zako za mtazamo mmoja zinazotumwa zinaondolewa punde tu zinapotumwa
Umeshautazama ujumbe huu
Hakuna kivinjari kilichosakinishwa kwenye kifaa chako.
Hakuna matokeo yaliyopatikana kwa \'%s\'
- Futa mazungumzo umechagua?
- Futa mazungumzo uliyoyachagua?
- Hili litafuta daima gumzo lililochaguliwa.
- Hili litafuta daima gumzo %1$dzote zilizochaguliwa.
Inafutwa
Inafuta mazungumzo yaliyochaguliwa…
- Gumzo limewekwa kwenye kumbukumbu
- Gumzo %dzimewekwa kwenye kumbukumbu
TENGUA
- Gumzo limehamishwa hadi kwenye kisanduku pokezi
- Gumzo %dzimehamishwa hadi kwenye kisanduku pokezi
Ujumbe muhimu wa kubadilishana
Mazungumzo yaliyohifadhiwa kwenye jalada (%d)
Imethibitishwa
Hitilafu kuweka picha ya wasifu
Hitilafu kuweka wasifu
Picha ya wasifu
Anzisha wasifu wako
Wasifu za Signal ni za usimbuaji fiche mwisho hadi mwisho, na seva ya huduma ya Signal kamwe haiwezi kufikia habari hizi.
Weka umbo
Inatumia kaida: %s
Inatumia chaguo msingi: %s
Hakuna
Sasa
d %d
Leo
Jana
Inatuma
Imetumwa
imefika
Soma
Tenganisha \' %s\'?
Kwa kutengua uunganishwaji wa kifaa hiki, hakitaweza tena kutuma au kupokea ujumbe.
Kuunganisha mtandao kumefeli
Jaribu tena
Inatengua uunganishwaji kifaa…
Inatengua uunganishwaji kifaa…
Mtandao umefeli!
Kifaa kisichokuwa na jina
Kimeunganishwa %s
Mwisho hai %s
Leo
Faili isiyo na jina
Panga kwa Huduma za Play sizizopo.
Kifaa hiki hakiwezeshi Huduma za Play. Gonga ili kulemaza na kuboresha mfumo wa betri unaozuia Signal kupokea ujumbe wakati haupo kwenye matumizi.
Shiriki na
Karibu Signal
TextSecure na RedPhone sasa ni mjumbe mmoja binafsi, kwa kila hali: Signal.
Karibu Signal
TextSecure sasa ni Signal.
TextSecure na RedPhone sasa ni programu moja: Signal. Gonga ili kugundua.
Sema habari kwenye simu salama ya video
Signal sasa inawezesha kupiga ya video kwa njia salama. Anza tu simu ya Signal kama ya kawaida, gonga kitufe cha video, na punga habari.
Signal sasa inawezesha usalama wa simu za video
Signal sasa inawezesha usalama wa simu za video. Gusa kugundua
Tayari kwa picha ya karibu?
Sasa unaweza kushiriki wasifu wa picha na jina kwa rafiki zako walioko Signal
Wasifu wa Signal ni hapa
Kutambulisha viashiria vya kucharaza.
Sasa unaweza kuchagua hiari na kushiriki wakati ujumbe unapocharazwa
Ungependa kuwezesha sasa?
Viashiria vya kucharazia viko hapa
Wezesha viashiria vya kucharaza
Washa viashiria vya kucharazia
Hapana nashukuru
Kuanzisha hakiki za kiungo
Kiungo cha hakiki ya hiari sasa kinategemezwa na baadhi ya tovuti maarufu kwenye Wavuti.
Unaweza kulemaza ama kuwezesha kipengele hiki wakati wowote kwenye mipangilio yako ya Signal (Faragha na gt; Tuma hakiki ya kiungo).
Nimeelewa
Kuwasilisha vibandiko
Mbona utumie maneno wakati unaweza kutumia vibandiko?
Mbona utumie maneno wakati unaweza kutumia vibandiko?
Gusa ikoni hii kwenye kicharazio chako:
Twende kazi
Inaleta ujumbe
Muda wote mawasiliano ya Signal yanafeli!
Signal haikuweza kujisajili na Huduma za Google Play. Ujumbe wa Signal na simu zimezimwa, tafadhali jaribu kujiandikisha katika Mipangilio > Zaidi.
Hitilafu wakati wa kurejesha GIF kamili ya azimio
GIFs
Vibandiko
Kikundi kipya
Hariri kikundi
Jina la kikundi
Kikundi kipya cha MMS
Umechagua mwasiliani asiyetumia vikundi vya Signal, kwayo kikundi hiki kitakuwa MMS.
Huna usajili kwa ujumbe wa Signal na simu, hivyo vikundi vya Signal vimelemazwa. Tafadhali jaribu kujiandikisha katika Mipangilio & gt; Zaidi.
Unahitaji angalau mtu mmoja kwenye kundi lako!
Mmoja wa wanachama wa kikundi chako ana namba ambayo haiwezi kusomeka kwa usahihi. Tafadhali rekebisha au uondoe mwasiliani na ujaribu tena.
Kundi la avatar
Omba
Inaunda %1$s
Inasasishwa %1$s…
Haikuweza kuongea %1$s kwa sababu, hatatumii Signal.
Inafungua habari za kundi…
Tayari upo kwenye kikundi
Shiriki jina la wasifu wako katika kikundi hiki
Unataka kufanya jina lako la wasifu na picha vionekane kwa wanachama wote wa sasa na wa baadaye wa kikundi hiki?
Onyesha
Mimi
Kundi la avatar
Umbo
Gonga na shikilia kurekodi ujumbe wa sauti, wachilia kitufe kutuma
Shiriki
Chagua mawasiliano
Shiriki na wawasiliano wako
Chagua jinsi ya kushiriki
Ghairi
Inatuma…
Moyo
Mialiko imetumwa!
Alika kwa Signal
- TUM SMS KWA MARAFIKI %d
- TUMA SMS KWA%dMARAFIKI
- Tuma miwito za SMS 1%d?
- Tuma %d mialiko ya SMS?
Wacha tubadili kwa Signal: %1$s
Inaonekana huna programu zozote za kushiriki
Marafiki hawawaachi marafiki kufanya gumzo zisizo na msimbo fiche.
Inafanya kazi kwa usuli
Imeshindwa kutuma
Nambari mpya ya usalama
Imeshindwa kupata ujumbe
Ujumbe kutoka %1$s
Ujumbe wako
Signal
kuunganisha kwa usuli kumewezeshwa
Hitilafu kusoma mipangilio ya mtoa huduma za wireless MMS
Midia
Faili
Sauti
Zote
- Futa kitu kilichochaguliwa?
- Futa vitu vilivyochaguliwa?
- Hili litafuta daima faili iliyochaguliwa. Ujumbe wowote mfupi unaohusishwa na kitu hiki pia utafutwa.
- Hili litafuta daima faili %1$dzilizochaguliwa. Ujumbe wowote mfupi unaohusishwa na vitu hivi pia utafutwa.
Inafutwa
Jumbe zinafutwa
Chagua zote
Inakusanya viambatisho
Panga kwa
Mpya kabisa
Nzee zaidi
Hifadhi iliyotumika
Hifadhi yote iliyotumika
Mtazamo wa kigridi
Mtazamo wa kiorodha
Iliyochaguliwa
- %1$dkitu%2$s
- %1$dvitu%2$s
- %1$dkitu
- %1$dvitu
Faili
Sauti
Video
Picha
Umetumwa na %1$s
Uliyotuma
Umetumwa na %1$s kwa %2$s
Umetumwa na wewe kwa %1$s
Simu ya Signal inaendelea
Inaanzisha simu ya Signal
Simu ya Signal inayoingia
Ghairi simu
Pokea simu
mwisho wa kuongea na simu
Ghairi simu
Ujumbe wa Multimedia
Inapakua ujumbe wa MMS
Hitilafu kupakua ujumbe wa MMS, bofya ili ujaribu tena
Tuma kwa %s
Fungua kamera
Gusa kuchagua
Ongeza maelezo…
Kipengee kimetolewa kwa sababu kimezidi ukubwa unaokubalika
Kamera haipatikani
Tuma ujumbe kwa %s
Ujumbe
Chagua wapokeaji
Signal inahitaji upatikanaji wa anwani zako ili kuzionyesha.
Signal inahitaji ruhusa za Wasiliano wako ili kuonyesha wasiliano wako, lakini imenyimwa daima. Tafadhali enda kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Wasiliano\".
- Huwezi kugawiza kuliko vitu 1%d.
- Huwezi kushiriki zaidi ya %dvitu
Chagua wapokeaji
Donoa hapa ili kufanya ujumbe huu kutoweka after umesomwa.
Media zote
Imepokea ujumbe uliofichwa kwa kutumia toleo la zamani la Signal ambayo haitumiki tena. Tafadhali kumwomba mtumaji kuwasasishe kwa toleo la hivi karibuni na kurejesha ujumbe.
Umeondoka kwenye kundi.
Umesasisha kikundi
Umepiga
Mwasiliani alipiga
Simu iliyokoswa
1%s amesasisha kikundi
1%s alikupigia
Imepiga%s
Umekosa simu kutoka kwa%s
1%s yupo Signal!
Umelemaza jumbe zinazopotea
%1$s amelemaza jumbe zinazopotea
Umeweka kitufe cha wakati cha ujumbe unaotoweka kwa %1$s.
%1$s ameweka kitufe cha wakati cha ujumbe unaotoweka kwa %2$s.
Nambari yako ya usalama pamoja na 1%s imebadilika
Umenakili nambari yako ya usalama pamoja na %s imethibitishwa
Umeweka alama kwa nambari yako ya usalama na %s kuwa imehakikishwa kutoka kwa kifaa kingine.
Umeweka alama kwenye nambari yako ya usalama na %s kuwa haijahakikishwa
Umeweka alama kwenye nambari yako ya usalama na %s kuwa haijahakikishwa kutoka kwa kifaa kingine
Nwyila haikulingana
sio sahihi ya zamani phassphrase
ingiza passphrase mpya
Unganisha kifaa hiki?
GHAIRI
ENDELEA
Itaweza ku
• Soma jumbe zako zote
\n• Tuma jumbe kwa jina lako
Kifaa kinaunganishwa
Kifaa kipya kinaunganishwa
Kifaa kimeidhinishwa
Hakuna kifaa kilichopatikana
Hitilafu ya kimtandao
Msimbo wa QR sio sahihi
Samahani, una vifaa vingi vilivyounganishwa tayari, jaribu kuondoa baadhi
Samahani, hiki sio kiungo halali cha msimbo wa QR kwa kifaa
Unganisha kifaa cha Signal
Inaonekana kama unajaribu kuunganisha kifaa cha Signal kwa kutumia skana ya chama cha 3. Kwa ulinzi wako, tafadhali soma kificho tena kutoka ndani ya Ishara.
Signal inahitaji ruhusa ya Kamera ili kuskani msimbo wa QR, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kamera\".
Imeshindwa kuskani msimbo wa QR bila ruhusa ya Kamera
Jumbe zinazopotea
Ujumbe wako hautopitwa na wakati
Ujumbe utakaotumwa na kupokewa kwenye gumzo hili utatoweka %s baada ya kuonekana.
Ingiza nenosiri
Signal ikoni
Tuma nenosiri
passhrase sio sahihi
Fungua Signal
Ramani
Si anwani halali
Weka nambari ya siri
Kubali anwani
Toleo la Huduma za Google Play ulilosakinisha halifanyi kazi vizuri. Tafadhali sakinisha tena Huduma za Google Play na ujaribu tena.
Tathmini programu hii
Kama unapendezwa na programu hii, tafadhali chukua nukta utufaidi kwa kuitathmini.
Tathmini sasa
Hapana nashukuru
Baadaye
Alaa, programu ya Play Store inaonekana haijasimikwa kwenye kifaa chako.
Zuia mwasiliani huyu?
Hautopokea tena ujumbe na simu kutoka kwa anwani hii
Zuia na ondoka kundi hili?
Zuia kundi hili?
Hautaweza kupokea ujumbe ama sasisho kutoka kwenye kikundi hiki.
Zuia
Ondoa kizuizi kwa mwasiliani huyu?
Utaweza tena kupokea jumbe na simu kutoka kwa mwasiliani huyu
Ondoa kizuizi kwa kundi
wanachama waliopo wataweza kukurudisha kwenye kundi tena
Hitilafu kuondoka kwenye kundi
Fungua
Wezeshwa
Lemazwa
inapatikana mara ujumbe utakapotumwa au kupokelewa.
Kundi halina jina
Inajibu
Inamaliza simu
Inadayo
Inapiga
Bize
Imeunganishwa
Mpokeaji hapatikani
Mtandao umefeli
Nambari haijasajiliwa
Nambari uliyopiga haiwezi sauti salama!
Nimeelewa
Chagua nchi yako
Lazima utaje nambari za nchi yako
Lazima utaje
nambari yako ya simu
Nambari si sahihi
Nambari uliyotaja (%s) sio sahihi
Huduma za Google Play zinakosekana
Kifaa hiki kimekosa huduma za Google Play. Bado unaweza kutumia Signal, lakini usanidi huu unaweza kusababisha upungufu wa kutegemewa au utendaji. \ n\n \ Kama wewe si mtumiaji wa juu, hautumii Android ROM, au unaamini kwamba unaona hili kimakosa, tafadhali wasiliana na support@signal.org kwa usaidizi wa matatizo.
Nimeelewa
Hitilafu katika huduma za Play
Huduma za Google Play zinasasisha au hazipatikani kwa muda. Tafadhali jaribu tena.
Vigezo &: Sera ya Faragha
Haiwezekani kufungua kiungo hiki. Hakuna kivinjari kilichopatikana
Taarifa zaidi
Taarifa chache
Signal inahitaji kupata wawasiliani wako ama Media ili kukuunganisha na marafiki, kubadilishana jumbe, na kupiga simu kisalama
Imeshindwa kuunganisha kwenye huduma. Tafadhali angalia muunganisho wako wa mtandao na ujaribu tena.
Ili kuthibitisha nambari yako ya simu kwa urahisi, Signal inaweza kugundua moja kwa moja msimbo wako wa kuthibitisha kama utakubali Signal itazame jumbe fupi.
- Sasa uko hatua %dkabla uwasilishe faili la rekebisho.
- Sasa uko hatua %d kabla uwasilishe faili la rekebisho.
Tunahitaji kuthibitisha wewe ni mtu.
Imeshindwa kuthibitisha msimbo wa CAPTCHA
Ifuatayo
Endelea
Endelea ( majaribio %dyamebakia)
Endelea (jaribio la mwisho!)
Enda na faragha.\n Kuwa wewe katika kila ujumbe
Ingiza nambari yako ya simu kuanza
Utapokea msimbo wa kuthibitisha. Gharama za mtoa huduma ya mawasiliano yako zitatumika.
Ingiza msimbo tuliotuma kwa %s
Nambari ya simu
Nambari ya nchi
Piga
Onyesha Picha
Tazama video
Imetazamwa
Media
Imefeli kuhifadhi mabadiliko ya picha
Hakuna matokeo yamepatikana kwa \'%s\'
Mazungumzo
Wawasiliani
Jumbe
Ongeza mawasiliano
Mwalike kwenye Signal
Ujumbe wa Signal
Simu ya Signal
Ongeza kwa wawasiliani
Mwalike kwenye Signal
Ujumbe wa Signal
Picha
Kibandiko
Sauti
Video
Umepokea ufunguo wa kubadilishana ujumbe iliovurugwa
Umepokea ufunguo wa kubadilishana ujumbe wa itifiki isiyo sahihi.
Ujumbe uliopokelewa pamoja na nambari mpya ya usalama. Gusa kuchakata na kuonyesha.
Umeseti upya kipindi salama
%s Seti tena kipindi salama
Ujumbe nakala
Huu ujumbe haukuchakatishwa kwa sababu umetumwa kutoka kwa toleo jipya la Signal. Unaweza kuomba mwasiliani wako akutumie ujumbe huu tena baada ya wewe kusasisha.
Hitilafu kushughulikia ujumbe unaoingia
Vibandiko
Vibandiko Vilivyosakinishwa
Vibandiko Ulivyovipokea
Mfululizo wa Msanii wa Signal
Hakuna vibandiko vilivyosakinishwa
Vibandiko kutoka kwa jumbe zinazoingia zitaonekana hapa
Haina kichwa
Isiyojulikana
Haina kichwa
Isiyojulikana
Sakinisha
Ondoa
Kibandiko
Imeshindwa kupakia pakiti ya vibandiko
Kikundi kimesasishwa
Kajiondoa kutoka kikundi
Kipindi salama kimewekwa upya
Rasimu
Ulipiga
Alikupigia
Simu uliyokosa
Ujumbe wa Media
Kibandiko
Picha ya mtazamo mmoja
Video ya mtazamo mmoja
Media ya mtazamo mmoja
%s yupo Signal
Jumbe zinazopotea zimelemazwa
Muda wa jumbe zinazopotea umewekwa kwa 1%s
Nambari salama imebadilika
Nambari yako ya usalama pamoja na 1%s imebadilika
Umeweka kuthibitishwa?
Umeweka kutothibitishwa
Ujumbe haujaweza kuchakatishwa
Sasisho ya Signal
Toleo jipya la Signal linapatikana, bonyeza kusasisha
Zuia 1%s?
Nambari zilizozuiliwa hazitoweza kukutumia jumbe au kukupigia simu
Zuia
Shiriki wasifu na 1%s
Njia rahisi ya kushirikisha taarifa za wasifu wako ni kuongeza mtumaji kwenye anwani zako. Kama usingependa, bado unaweza kushirikisha taarifa za wasifu wako kwa njia hii.
Shiriki wasifu
Tuma ujumbe?
Tuma
Tuma ujumbe?
Tuma
Jina la mtumiaji
Tuma
Futa
Jina la mtumiaji limefanikiwa kuwekwa.
Jina la mtumiaji limefanikiwa kuondolewa.
Imekumbana na hitilafu ya mtandao.
Jina hili la mtumiaji limechukuliwa.
Jina hili la mtimiaji linapatikana.
Majina ya watumiaji yanaweza kujumuisha tu a-Z, 0-9, na alama za underscore.
Majina ya watumiaji hayawezi kuanza kwa nambari.
Jina la mtumiaji si halali.
Majina ya watumiaji lazima yawe kati ya vibambo %1$dna %2$d.
Watumiaji wengine wa Signal wanaweza kutuma maombi ya ujumbe kwa jina lako la kipekee la mtumiaji bila kujua nambari yako ya simu. Kuchagua jina la mtumiaji ni kwa hiari.
Mawasiliano yako yanaendesha toleo la zamani la Signal. Tafadhali waombe wasasishe kabla ya kuthibitisha nambari yako ya usalama.
Mawasiliano yako yanaendesha toleo jipya la Signal na muundo wa msimbo wa QR usiopatanisha. Tafadhali sasisha ili upatanishe
Scani ya msimbo wa QR sio ya muundo sahihi wa nambari ya msimbo salama wa kuthibitisha. Tafadhali jaribu kuscani tena.
Shiriki nambari salama kupitia…
Nambari yetu ya usalama ya Signal
Inaonekana huna programu yoyote ya kushiriki
Hamna nambari ya usalama ya kulinganisha iliyopatikana kwenye bodi ya kupogoa
Signal inahitaji ruhusa ya Kamera ili kuskani msimbo wa QR, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kamera\".
Imeshindwa kuskani msimbo wa QR bila ruhusa ya kamera
Ujumbe wa msimbo fiche mbaya.
Ujumbe umesimbwa kwa kipindi kisichopo
Ujumbe wa MMS umesimbwa vibaya
Ujumbe wa MMS umesimbwa kwa kipindi kisichopo
Zima arifa
Hakuna kivinjari kilichosakinishwa
Uingizaji unaendelea
Inaingiza jumbe za maneno
Uingizaji umekamilika
Mfumo wa database umemaliza kuingiza
Gusa kufungua
Gusa kufungua, au gusa kifungio kufunga
Signal imefunguliwa
Funga Signal
Wewe
Aina ya media isiyowezeshwa
Rasimu
Signal inahitaji ruhusa ya Hifadhi ili kuhifadhi kwenye hifadhi ya nje, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Uhifadhi\".
Haiwezekani kuhifadhi kwenye hifadhi ya nje bila ruhusa
Futa ujumbe?
Hii itafuta ujumbe kabisa
%1$shadi %2$s
%1$d ujumbe mpya kwa %2$d mazungumzo
Ya hivi karibuni kutoka: %1$s
Ujumbe uliofungwa
ujumbe wa Media %s
Uwasilishaji ujumbe umefeli
Imefeli kuwasilisha ujumbe
Hitilafu kuwasilisha ujumbe
Nakili yote kama imesomwa
Nakili imesomwa
Ujumbe wa Media
Kibandiko
Picha ya mtazamo mmoja
Video ya mtazamo mmoja
Jibu
Ujumbe wa Signal
Ujumbe usio salama
Inawezekana una jumbe mpya
Fungua Signal kuangalia taarifa mpya
%1$s %2$s
Mawasiliano
Alitoa hisia kwa ujumbe wako: %1$s
Chaguo Msingi
Simu
Zilizoshindwa
Rudisha taarifa
Funga hali
Sasisho za programu
ingine
Jumbe
Isiyojulikana
Jina lako la wasifa limefanikiwa kuwekwa.
Imekumbana na hitilafu ya mtandao.
Jibu la haraka halipatikani wakati Signal imefungwa!
Tatizo kutuma ujumbe
Imehifadhiwa kwa %s
imehifadhiwa
Tafuta
Tafuta mazungumzo, mawasiliano na jumbe
Mkato batili
Signal
Ujumbe mpya
Cheza video
Ina maelezo mafupi
- Kitu %d
- Vitu %d
Kifaa hakijasajiliwa tena
Hii inawezekana kwa sababu umeandikisha nambari yako ya simu na Signal kwenye kifaa tofauti. Gonga ili kujiandikisha tena.
Hitilafu kuchezesha video
Ili kujibu mwito kutoka kwa %s, ruhusu Signal ifikie kipaza sauti chako.
Signal inahitaji ruhusa ya kipaza sauti na Kamera ili kufanya au kupokea simu, lakini zimekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwawezesha \"Kipaza sauti\" na \"Kamera\".
Nambari ya usalama ya gumzo lako na %1$simebadilika. Hili linaweza kumaanisha kuwa aidha kuna mtu anayejaribu kuingilia mawasiliano yenu, ama tu %2$samesimika upya Signal.
Unaweza kufafanua nambari yako ya usalama na anwani hii.
namba mpya ya usalama
Kubali
mwisho wa kuongea na simu
Gusa kuwezesha video yako
Picha ya mwasiliani
Msemaji
Bluetooth
Zima
Kamera yako
Badili hadi kamera ya nyuma
Pokea simu
Ghairi simu
Sauti
Sauti
Mwasiliani
Mwasiliani
Kamera
Kamera
Eneo
Eneo
GIF
Gif
Picha au video
Faili
Matunzio
Faili
Toggle kiambatisho drawer
passphrase ya zamani
passphrase mpya
rudia passphrase mpya
Ingiza jina au nambari
Mwalike kwenye Signal
Futa matini iliyoingizwa
Onyesha kicharazio
Onyesha dayopadi
Hakuna wawasiliani
Inapakia wawasiliani…
Picha ya mwasiliani
Signal inahitaji idhini ya Wawasiliani ili kuonyesha wawasiliani wako, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye orodha ya mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Wawasiliani\".
Hitilafu kupata wawasiliani, angalia uunganisho wako wa mtandao
Jina la mtumiaji halijapatikana
\"%1$s\" sio mtumiaji wa Signal. Tafadhali angalia jina la mtumiaji na ujaribu tena.
Sawa
Hakuna mawasiliano yaliyofungiwa
Signal inahitaji upatikanaji wa wawasiliani yako ili kuonyesha.
onyesha mawasiliano
Ujumbe wa Signal
Ujumbe usio salama
MMS isiyo salama
Kutoka 1%1$s
SIM %1$d
Tuma
Utungaji wa ujumbe
Badili kicharazio emoji
Maelezo ya kiambatanisho
Badili haraka droo ya kiambatanisha
kamera
Rekodi na tuma kiambatisho cha sauti
Funga kurekodi kwa kiambatisho cha sauti
Wezesha Signal kwa Ujumbe
Telezesha ili kughairi
Ghairi
Ujumbe wa Media
Ujumbe salama
Imefeli kutuma
Inasubiri idhini
Imewasilishwa
Ujumbe umesomwa
Picha ya mwasiliani
Cheza … Pumzisha
Pakua
Sauti
Video
Picha
Media ya mtazamo-mmoja
Kibandiko
Faili ya maandiko
Wewe
Ujumbe asili haupatikani
Biringiza hadi chini
Inapakia nchi
Tafuta
Skani Msimbo wa QR ulioonyeshwa kwenye kifaa ili kuunganisha
Unganisha kifaa
Hakuna vifaa vilivyounganishwa
Unganisha kifaa kipya
endelea
Jumbe zilizosomwa zipo hapa
Hiari kuona na kushiriki wakati jumbe zimeshasomwa
Wezesha jumbe zilizosomwa
Zima
- nukta %d
- nukta %d
1%d s
- dakika 1%d
- dakika %d
d %d
- masaa 1%d
- masaa %d
%d h
- siku 1%d
- siku %d
1%d d
- majuma 1%d
- majuma %d
%d w
Nambari yako ya usalama %sna imebadilika na haijathibitishwa tena
Nambari zako za usalama %1$s na %2$s sasa hazijathibitishwa tena
Nambari zako za usalama na %1$s, %2$s, na %3$shazijathibitishwa tena.
Nambari yako ya usalama na %1$simebadilika na haijathibitishwa tena. Hili linamaanisha kuwa aidha kuna mtu anayejaribu kuingilia mawasiliano yako, ama tu %1$samesakinisha upya Signal.
Nambari zako za usalama na %1$s na %2$s hazijathibitishwa tena. Hili linaweza kumaanisha kuwa aidha kuna mtu anayejaribu kuingilia mawasiliano yako, au tu amesakinisha upya Signal.
Nambari zako za usalama na %1$s, %2$s, na %3$s hazijahakikishwa. Hili linaweza kumaanisha kuwa aidha kuna mtu anayejaribu kuingilia mawasiliano yenu, au tu wamesimika upya Signal.
Nambari yako ya usalama pamoja na 1%s imebadilika
Nambari zako za usalama na %1$s na %2$szimebadilika.
Nambari zako za usalama na %1$s, %2$s, na %3$s zimebadilika.
- %d wengine
- %d Wengine
Tafuta GIF na vibandiko
Hakuna kilichopatikana
Haikuweza kusoma faili ya kumbukumbu kwenye kifaa chako. Bado unaweza kutumia ADB kupata faili ya kueua badala yake.
Asante kwa msaada wako
Inatuma
Hakuna kivinjari kilichosakinishwa
Usitume
Tuma
Nimeelewa
Tunga barua pepe
Faili hii itawekwa hadharani mkondoni ili wachangiaji watazame, unaweza kuikagua na kuihariri kabla ya kuiwasilisha.
Inapakia logi
Inapakia logi
Mafanikio!
Nakili KISARA (Kioneshi Sanifu Rasilimali) hiki na ukiongeze kwenye ripoti yako ya suala ama barua pepe-egemezi:\n\n%1$s\n
Ilinakiliwa kwenye ubao wa kupogoa.
Chagua program ya barua pepe
Tafadhali hakiki faili hili kutoka kwa programu yangu: %1$s
Mtandao umefeli. Tafadhali jaribu tena
Je! Ungependa kuingiza jumbe zako za matini zilizopo kwenye hifadhidata salama ya Signal?
Nambari ya msingi ya mfumo haitashirikiwa au kubadilishwa kwa njia yoyote.
ruka
kuagiza
Hii itachukua muda. Tafadhali kuwa mvumilivu, tutakujulisha wakati ingizaji ukikamilika.
kupokea
Ingiza mfumo wa ujumbe database
Ingiza database kutoka kwa programu ya mjumbe wa mfumo wa chaguo msingi
ingiza backup isiyo na maandishi
Leta faili la maandishi la hifadhi. Inalingana na \'Hifadhi la Ujumbe Mfupi na amp. Rudisha upya\'.
Angalia mazungumzo yote
Kupakia
hakuna vyombo vya habari
angalia
TUMA TENA
kutuma tena
- %1$s ameingia kikundi.
- %1$s ameingia kikundi.
jina la kundi sasa ni \'1%1$s\'
weka jina la wasifu wako na picha vionekane kwa kundi hili
fungua
Signal inahitaji mipangilio ya MMS ili kutoa ujumbe wa vyombo vya habari na wa kikundi kwa njia ya mtoa huduma yako ya wireless. Kifaa chako haifai habari hii inapatikana, ambayo ni mara kwa mara ya kweli kwa vifaa vifungwa na masharti mengine ya kuzuia.
Kutuma ujumbe wa vyombo vya habari na vikundi, gonga \'Sawa\' na ukamilisha mipangilio iliyoombwa. Mipangilio ya MMS ya mtoa huduma yako inaweza kwa ujumla kwa kutafuta \'APN yako carrier\'. Utahitaji tu kufanya hili mara moja.
Mshiriki wa vyombo vya habari
simamisha mazungumzo
taarifa za desturi
Kuweka taarifa ya mfumo
taarifa ya sauti
vibrate
Zuia
rangi
angalia namba ya usalama
Mpangilio wa Mazungumzo
Faragha
Mpangilio wa kupiga simu
Mlio wa simu
Simu ya Signal
NAMBARI YA SIMU
Signal inafanya kuwa rahisi kuwasiliana kwa kutumia nambari yako ya simu iliyopo na kitabu cha anwani. Marafiki na washirika ambao tayari wanajua jinsi ya kuwasiliana na wewe kwa simu wataweza kuwasiliana kwa urahisi na Signal. \ N \ nUsaili inatuma maelezo ya mawasiliano kwenye seva. Haihifadhiwa.
Hakiki namba yako
Tafadhali ingiza nambari yako ya simu ili upokee nambari ya kuthibitisha. Malipo ya mtoa huduma yatazingatiwa
Ingiza jina au nambari
Ongeza wanachama
Mtumaji hayupo kwenye orodha yako ya mawasiliano
ZUIA
ongeza kwa mawasiliano
hakuna kuongeza lakini fanya wasifu wangu uonekane
Fahamu zaidi. ]]>
gusa kuskani
Inapakia
iliyothibitishwa
shirikisha namba salama
Sogeza juu kujibu
sogeza chini kukataa
baadhi ya masuala yanahitaji umakini wako
Imetumwa
Imepokelewa
kutoweka
Kupitia
Kuelekea:
Kutoka:
Pamoja:
kuunda phassphrase
chagua mawasiliano
badili passphrase
Thibitisha usalama wa namba
tuma logi ya kufuta
Uhakiki wa vyombo vya habari
Maelezo ya ujumbe
vifaa vinavyohusishwa
Alika marafiki
mafanikio ya maongezi
ondoa picha
kuagiza
Tumia chaguo msingi
tumia desturi
nyamaza kwa saa 1
nyamaza kwa masaa 2
Nyamaza kwa siku 1
Nyamaza kwa siku 7
Nyamaza kwa mwaka 1
Vipimo vya chaguo msingi
wezesha
kuzuia
jina na ujumbe
jina tu
hakuna jina wala ujumbe
picha
Sauti
Video
nyaraka
Ndogo
Kawaida
Kubwa
Kubwa zaidi
Chaguo msingi
juu
mwisho
- masaa %d
- masaa %d
SMS na MMS
Pokea SMS zote
Pokea MMS zote
Tumia Signal kwa ujumbe wote unaoingia
Tumia Signal kwa ujumbe wote unaoingia wa multimedia
Ingiza kutuma muhimu
bonyeza kibodi ya kuingia ili kutuma ujumbe wa maandishi
tuma kiungo kilichoonekana
Maoni hakiki yametegemezwa kwenye viungo vya Imgur, Instagram, Pinterest, Reddit na YouTube
chagua utambulisho
chagua mawasiliano kutoka kwenye list yako ya mawasiliano.
badili passphrase
Badili phassphrase yako
wezesha phassphrase ya kufunfa skriini
Funga skriini na arifa pamoja na phassphrase
usalamaa wa skrini
Zima viwambo vya skrini katika orodha ya rekodi na ndani ya programu
Ondoa kiotomatiki cha Signal baada ya muda maalum wa kutoacha
muda umeisha na kukosa passphrase
kukosa muda umeisha
Arifa
Kuweka taarifa ya mfumo
Rangi za LED
Isiyojulikana
Mfano wa LED blink
Sauti
Kimya
rudia tahadhari
Haiwezekani
Mara moja
Mara mbili
Mara tatu
Mara tano
Mara kumi
Tetemeka
Kijani
Nyekundu
Buluu
Njano
Samawati
Nyekundu nyeusi
Nyeupe
Hakuna
Haraka
Kawaida
Polepole
ya juu
faragha
Wakala wa mtumiaji wa MMS
Mwongozo wa mpangilio wa MMS
MMSC URL
Muongozaji wa MMS Proxy
MMS Mkusanyiko waProxy
Jina la mtumiaji MMSC
nyila la MMSC
ripoti ya ujumbe ulioisha
Omba ripoti ya kujifungua kwa kila ujumbe wa SMS unayotuma
Futa moja kwa moja ujumbe wa zamani mara moja mazungumzo yanazidi urefu uliojulikana
Futa ujumbe wa zamani
Mazungumzo na vyombo vya habari
Hifadhi
mwisho wa urefu wa maongezi
Piga mazungumzo yote sasa
Pitia kupitia mazungumzo yote na uimarishe mipaka ya urefu wa mazungumzo
vifaa vinavyohusishwa
Mwanga
Giza
Mfumo
Muonekano
mandhari
Chaguo Msingi
Lugha
Ujumbe na simu za Signal
Ujumbe wa faragha wa bure na wito kwa watumiaji wa Signal
Tuma batli ya kufuta
\'Mfumo wa utangamano wa WiFi\'
Wezesha ikiwa kifaa chako kinatumia utoaji wa SMS / MMS juu ya WiFi (tuwezesha wakati \"WiFi Calling\" imewezeshwa kwenye kifaa chako)
Kibodi cha kuingia
Soma stakabadhi
Ikiwa stakabadhi zilizosomwa zimezuiliwa, huwezi kuona stakabadhi zilizosomwa kutoka kwa wengine
andika viashiria
Ikiwa viashiria vya kuandika vimezimwa, huwezi kuona viashiria vya kuandika kutoka kwa wengine.
Omba kibodi ili kuzima kujifunza kwa kibinafsi
Anwani zilizozuiwa
lini wakati wa kutumia intaneti ya simu
wakati unatumia wifi
wakati wa kutembea
Kushusha kwa vyombo vya habari
ujumbe unapunguza
Matumizi ya hifadhi
Picha
Video
Faili
Sauti
Hakikisa hifadhi
Tumia emoji ya mfumo
kuzuia Signal iliyojengwa kusaidia emoji
Kuwawezesha kupunguza ubora wa simu
siku zote relay wito wa simu
kutumia programu
mawasiliano
mazungumzo
ujumbe
shughuli
sauti wakati wa mazungumzo
onyesha
wito
muito
haraka onyesha mwaliko
Onyesha mwaliko wa mwaliko wa mawasiliano bila Signal
ukubwa wa maandishi ya ujumbe
mawasiliano imejiunga Signal
Kipaumbele
mtumaji muhuri
kuonyesha viashiria
Onyesha icon ya hali wakati unapochagua \"Maelezo ya Ujumbe\" kwenye ujumbe uliotolewa kupitia mtumaji aliyetiwa muhuri.
ruhusu kutoka kwa kila mtu
Wezesha mtumaji aliyetiwa muhuri kwa barua zinazoingia kutoka kwa wasiosiliana na watu ambao hukushiriki wasifu wako.
jifunze zaidi
Ujumbe mpya kuelekea…
wito
wito wa Signal
Mwito wa video wa Signal
Maelezo ya ujumbe
Nakala ya nakala
Futa ujumbe
Ujumbe wa mbele
Tuma tena ujumbe
Jibu ujumbe
Chagua nyingi
Hifadhi attachment
Ukumbe uliotoweka
Ujumbe umepitwa na wakati
Alika
Futa uchaguzi
Chagua vyote
Pata kuchaguliwa
isiyochaguliwa kuchaguliwa
Njia ya mkato wa mipangilio
Tafuta
wasiliana na simu ya picha
Sanikisha
Zeeerrro ya kikasha
Zip. Zilch. Sufuri. Nada. \ \"Wewe wote umepata juu!
Mazungumzo mapya
Wezesha Kamera
Fanya kikasha chako cha kuandika nyumbani. Anza kwa ujumbe kwa rafiki.
Rekebisha kikao salama
Usifute
Arifa za bubu
Ongeza Kiambatanisho
Hariri kikundi
Toka kwenye kikundi
Vyombo vyote vya habari
Kuweka mazungumzo
Ongeza kwenye skrini ya nyumbani
Kupanua popup
Jumlisha kwenye anwani
Orodha ya wapokeaji
utoaji
Mazungumzo
Kutangaza
Kundi jipya
mipangilio
Funga
Alamisha zote zilizosomwa
Alika marafiki
Msaada
Nakala kwenye ubao wa video
Linganisha na ubao wa video
Toleo lako la Signal limepitwa na wakati
- Toleo lako la Signal linaisha baada ya siku %d. Donoa ili usasishe hadi toleo la hivi punde zaidi.
- Toleo lako la Signal linaisha kwa siku %d. Donoa ili kusasisha hadi kwenye toleo la hivi punde zaidi.
Toleo lako la Signal litaisha leo. Gonga ili usasishe kwa toleo la hivi karibuni.
Toleo lako la Signal limepitwa na wakati.
Ujumbe hautatuma tena kwa mafanikio. Gonga ili usasishe kwa toleo la hivi karibuni.
Tumia chaguo msingi programu ya meseji
Gonga ili uweke Signal ya programu yako ya SMS ya default.
Weka sms ya mfumo
Gonga ili nakala ujumbe wa SMS ya simu yako kwenye darasani ya salama ya Siri.
Wezesha meseji na simu zote za Signal
Boresha uzoefu wako wa mawasiliano
Mwalike kwenye Signal
Peleka mazungumzo pamoja %1$s kwenye ngazi inayofuata
Alika rafiki zako
Marafiki zaidi wakitubia Signal, Inaimarika zaidi
Signal inakabiliwa na matatizo ya kiufundi. Tunajitahidi kurejesha huduma haraka iwezekanavyo.
Vipengele vya hivi punde zaidi vya Signal havitafanya kwenye toleo hili la Android. Tafadhali boresha kifaa hiki ili upate sasisho zijazo za Signal.
%1$d%%
Hifadhi
Mbele
Vyombo vyote vya habari
Uhakiki wa vyombo vya habari
furahisha
Kufuta
futa ujumbe wa zamani
Ujumbe wa zamani umefutwa kwa ufanisi
asilimia
Ufahamu
Ufahamu
Itifaki za Signal moja kwa moja zimelinda %1$d%% ya ujumbe wako uliooenda kwenye siku %2$d zilizopita. Gumzo kati ya watumizi wa Signal yamesimbwa mwisho hadi mwisho.
Ongezo-hadhi la Signal
Data haitoshi
Asilimia ya Ufahamu Wako unahesabiwa kulingana na ujumbe unaoenda kwa siku %1$dzilizopita ambao haujatoweka wala kufutwa.
Anza gumzo
Anza kuwasiliana kwa usalama na uwezeshe vipengele mpya ambavyo vinapita matarajio ya ujumbe mfupe usiosimbwa kwa kualika wawasiliani zaidi kujiunga na Signal.
Takwimu hizi zimetolewa ndani ya kifaa chako na zinaonekana na wewe pekee. Kamwe hazisambazwi kokote.
Ujumbe uliosimbwa
futa
tuma
Kuwasilisha Ufahamu
Pata kujua ni ujumbe upi uliotuma ulienda salama, halafu haraka ualike wawasiliani wapya ili kuongeza asilimia yako ya Signal.
Tazama Ufahamu
Mwalike kwenye Signal
Unaweza kuongeza nambari ya ujumbe wa msimbo utumao kwa %1$d %%
Ongeza hadhi Signal yako
Alika %1$s
Tazama Ufahamu
Alika
icon ya usafiri
Inafunguka
Inaunganishwa
Ruhusa inahitajika
Signal inahitaji idhini ya SMS ili kutuma SMS, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\" na uwezesha \"SMS\".
Endelea
sio sasa
Signal Signal inahitaji mawasiliano ya ruhusa ili kutafuta anwani zako, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwawezesha \"Mawasiliano\".
Wezesha meseji za Signal
Inahamisha database ya Signal
Ujumbe mpya uliofungwa
Fungua ili uone ujumbe unasubiri
Fungua kufungua sasisho
Tafadhali kufungua ili kukamilisha Signal ya sasisho
neno siri ya ziada
Backups itahifadhiwa kwenye hifadhi ya nje na imetambulishwa na nenosiri chini. Lazima uwe na chapisho hili ili urejeshe upya.
Nimeandika neno hili la kupitisha. Bila hivyo, sitashindwa kurejesha salama.
rejesha upya
ruka
Sajili
salama za mazungumzo
Kuhifadhi mazungumzo kwa hifadhi ya nje
anzisha hifadhi
ingiza passphrase ya hifadhi
kurejesha
Haiwezi kuingiza backups kutoka kwa matoleo mapya ya Signal
Sahihi ya kupitisha safu ya salama
kuangalia
1%d ujumbe hadi sasa
kurejesha kutoka kwa hifadhi
Rejesha ujumbe wako na vyombo vya habari kutoka kwa salama ya ndani. Ikiwa hutarejesha sasa, hutaweza kurejesha baadaye.
ukubwa wa salama: 1%s
Rudisha nyakati: 1%s
kuwezesha salama ya ndani?
Rudisha salama
Tafadhali kukubali ufahamu wako kwa kuashiria sanduku la uthibitisho la kuthibitisha.
Futa vifungo?
Zima na kufuta salama zote za ndani?
Futa salama
Ilikopishwa kwenye ubao wa video
Signal inahitaji idhini ya hifadhi ya nje ili kuunda salama, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\" na uwezesha \"Uhifadhi\".
backup ya mwisho: 1%s
Inaendelea
Kujenga salama
1%d ujumbe hadi sasa
Tafathali ingiza msimbo kuthibitisha uliotumwa kwa 1%s
Nambari sio sahihi
Nipigie mbadala. \n (Inapatikana kwenye %1$02d : %2$02d)
Wasiliana na Msaada wa Signal
Usajili wa Signal: Msimbo wa Hakiki wa Android
Mada: Usajili wa Signal- Msimbo wa Hakiki wa Android \n Habari ya Kifaa: %1$s \n Toleo la Android: %2$s \n Toleo wa Signal: %3$s \nLocale: %4$s
Haiwezekani
Isiyojulikana
safi ya skrini
Funga ufikiaji wa Signal na lock ya Android au alama za vidole
Funga muda wa kuacha kuingia
Hakuna
Nambari ya PIN ya Usajili si sawa na msimbo wa uthibitisho wa SMS unayopokea tu. Tafadhali ingiza PIN uliyoiweka hapo awali katika programu.
Usajili lock PIN
sahau PIN
PIN inaweza kuwa na tarakimu nne au zaidi. Ukiisahau PIN yako, unaweza kufungwa kwa akaunti yako hadi siku saba.
Ingiza pini
Thibitisha PIN
Ingiza PIN yako ya Usajili Lock
Ingiza pini
Wezesha usajili wa PIN ambayo inahitajika kujiandikisha nambari hii ya simu na Signal tena.
Usajili lock PIN
Usajili wa kufunga
Ni lazima uingize Lock PIN uliyosajili
Lock PIN iliyosajiliwa sio sahihi
Majaribio mengi mno
Umefanya majaribio ya PIN ya Usajili Wisio sahihi sana. Tafadhali jaribu tena kwa siku.
Hitilafu kujiunga kwa huduma
Oo Hapana
Usajili wa namba hii ya simu itawezekana bila PIN yako ya Usajili Kuzuia baada ya siku 7 tangu nambari hii ya simu ilipomaliza kazi kwenye Ishara. Una siku%d iliyobaki.
Usajili wa namba ya siri
Nambari hii ya simu ina Lock ya Usajili imewezeshwa. Tafadhali ingiza PIN ya Usajili wa PIN.
Lock ya Usajili imewezeshwa kwa namba yako ya simu. Ili kukusaidia kukariri PIN yako ya Kujiandikisha PIN, Signal itakuuliza mara kwa mara ili uidhibitishe.
Nisisahau nywila
Nywila iliyosahaulika
Usajili Lock husaidia kulinda namba yako ya simu kutoka majaribio ya usajili yasiyoidhinishwa. Kipengele hiki kinaweza kuzima wakati wowote kwenye mipangilio ya faragha yako ya Signal
Usajili wa kufunga
Wezesha
Namba mbili za siri ulizoingiza haziendani.
Hitilafu ya kuunganisha na huduma.
Zuia namba ya siri iliyosajiliwa.
Zuia
Nambari Ya Siri si Sahihi
Una majaribio %d yaliyobakia
Rudisha taarifa
Signal Imejifunga
Gusa kufungua
Kumbusha
Kuhusu
Isiyojulikana
Kubali
Futa
Zuia
Je, unataka kupokea ujumbe kutoka kwa %1$s?
Memba wa %1$s
Memba wa %1$s na %2$s
Memba wa %1$s, %2$s, na %3$s
Memba %1$d
- Mwingine %d
- Wengine %d