Ndio
Hapana
Futa
Tafadhali subiri…
Hifadhi
Kidokezo kwake mwenyewe
Ujumbe mpya
Signal inasasishwa…
Hivi sasa: %s
Bado haujaweka sisitizo.
- 1%d meseji kwa mazungumuzo
- %d Ujumbe kwa kila mazungumzo
Futa jumbe zote za zamani sasa?
- Hii, itafupisha mazungumzo zote, meseji ya mwisho zitaishi.
- Hii, itapunguzaa mara moja mazungumzo yote hadi %d ya jumbe za hivi karibuni.
Futa
Lemaza ufafanuzi
Hii itafungua kabisa Signal na arifu za ujumbe
Lemaza
Usajili unaghairiwa
Usajili unaghairiwa kutoka jumbe za Signal na simu
Lemaza jumbe za Signal na simu?
Lemaza jumbe na simu za Signal kwa kutosajili kutoka kwenye seva. Utatakiwa kusajili tena numberi yako ya simu ili uzitumie tena baadae.
Hitilafu kuunganisha kwa mtambo.
Ujumbe mfupi wa simu umewezeshwa
Gusa kubadili mpangilio msingi wa App ya jumbe
Ujumbe mfupi umelemazwa
Gusa kufanya Signal mpangilio msingi wa App ya jumbe
Washwa
Washwa
Zima
Zima
Ujumbe mfupi wa simu %1$s, Ujumbe mfupi wa picha %2$s
Kifunga skrini%1$s, Kifunga usajili %2$s
Kifunga Skrini %1$s
Mandhari %1$s, Lugha %2$s
- dakika %d
- dakika %d
(picha)
(sauti)
(video)
(eneo)
(jibu)
Picha
GIF
Faili
Mwasiliani
Eneo
Signal inahitaji ruhusa ili kuonyesha picha zako na video.
Ruhusu
Haiwezi kupata programu ya kuchagua media
Signal inahitaji idhini ya Hifadhi ili kuunganisha picha, video, au sauti, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye orodha ya mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezesha \"Hifadhi\".
Signal inahitaji idhini ya Mawasiliano ili kuunganisha maelezo ya mawasiliano, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye orodha ya mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Mawasiliano\".
Signal inahitaji ruhusa ya Eneo ili kuunganisha mahali, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye orodha ya mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Eneo\".
Signal inahitaji ruhusa ya Kamera ili kuchukua picha, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye orodha ya mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kamera\".
Media inapakiwa…
Video inafinyazwa…
Hitilafu ya kucheza sauti!
Anwani zilizozuiliwa
Leo
Jana
Wiki hii
Mwezi huu
Kubwa
Wastani
Ndogo
Simu inaingia
Imeshindikana kuhifadhi picha
Gusa ili upate picha, shikilia ili upate video
Piga
Geuza kamera
Fungua kitunzio
Mawasiliano ya hivi karibuni
Mawasiliano ya Signal
Makundi za Signal
Unaweza kushiriki na upeo wa %dwa mazungumzo.
Chagua wapokeaji wa Signal
Hakuna mawasiliano ya Signal
Unaweza kutumia kitufe cha kamera kutuma picha kwa mawasiliano ya Signal.
Huwezi kumpata unayemtafuta?
Alika mwasiliani wako ajiunge na Signal
Tafuta
Ondoa
Ondoa picha ya wasifu?
Hakuna kivinjari kilichopatikana.
Simu ya mkononi tayari inapigwa sasa hivi.
Anza upigaji simu wa video?
Anza upigaji simu wa sauti?
Ghairi
Piga
Nambari yako ya usalama ya 1 %1$s imebadilika. Hii inamaanisha kuwa aidha kuna mtu anajaribu kuingilia mawasiliano yako, ama tu 2 %2$s amesimiza upya Signal.
Ungependa kuthibitisha nambari yako ya usalama na anwani hii.
Kubali
Gumzo za hivi karibuni
Mawasiliano
Makundi
Utafutaji wa nambari ya simu
Utafutaji wa jina la mtumizi
Ujumbe %s
Simu ya Signal %s
Jina ulilopewa
Jina la ukoo
Kiambishi awali
Kiambishi tamati
Jina la katikati
Nyumbani
Simu
Kazi
ingine
Mawasilianao yaliyochaguliwa sio sahihi
Imefeli kutuma, gusa kwa taarifa
Umepokea ujumbe mkuu uliobadilishwa, gusa kuendelea na mchakato
%1$s ameondoka kwenye kundi
Imefeli kutuma, gusa kwa isiyo salama ili kurejea nyuma
Rudi nyuma kwa ujumbe usio na msimbo fiche?
Rudi nyuma kwa ujumbe usio na msimbo fiche?
Huu ujumbe hau ta kuwa na msimbo fiche kwa sababu mpokeaji hatumii tena Signal.\n\n Tuma ujumbe usio salama?
Haiwezi kupata programu inayoweza kufungua media hii.
nakala 1%s
kutoka %s
kwenda %s
Soma Zaidi
Pakua Zaidi
Inasubiriwa
Seti upya kipindi salama?
Hii inaweza kusaidia kama una matatizo ya usimbuaji fiche kwenye gumzo hili. Jumbe zako zitahifadhiwa.
Seti upya tena
Ongeza Kiambatanisho
Chagua taarifa za mawasiliano
Tunga ujumbe
Samahani, hitilafi ilitokea kwenye kuweka kiambatanisho chako.
Mpokeaji sio anwani sahihi ya Ujumbe au barua pepe!
Ujumbe ni mtupu!
Wanachama wa kikundi
Mpokeaji sio sahihi!
Imeongezwa kwenye skrini ya mwanzo
Simu hazikubaliki
Kifaa hiki hakionekani kuwezesha matendo ya kupiga
Ondoka kwenye kundi
Una uhakika unataka kuondoka kwenye kundi hili?
Ujumbe usio salama
MMS isiyo salama
Signal
Wacha tubadili kwa Signal 1%1$s
Hitilafu kuondoka kwenye kundi
Tafadhali chagua mawasiliano
Ondoa kizuizi kwa mawasiliano haya?
Ondoa kizuizi kwa kundi hili?
Utaweza kupata tena jumbe na simu kutoka kwa anwani hii.
Wanachama waliopo wataweza kukurudisha kwenye kundi tena
Fungua
Kiambatisho kimezidi ukubwa wa aina ya ujumbe unaotuma
Kamera haipatikani
Haiwezi kurekodi sauti!
Hakuna programu ya kuweza kushughulikia kiungo hiki kwenye kifaa chako
Kutuma jumbe za sauti, ruhusu ufikiaji wa Signal kwenye kipaza sauti chako.
Signal inahitaji idhini ya Kipaza sauti ili kutuma ujumbe wa sauti, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kipaza sauti\".
Kupiga %s, Signal inahitaji ufikikiaji kwa kipaza sauti chako na kamera.
Signal inahitaji ruhusa ya Kipaza sauti na Kamera ili kupiga%s , lakini zimekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kipaza sauti\" na \"Kamera\".
Ili kupiga picha na video, ruhusu ufikiaji wa Signal kwa kamera.
Signal inahitaji kibali cha Kamera kuchukua picha au video, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kamera\".
Signal inahitaji ruhusa ya kamera kuchukua picha na video
Wezesha ruhusa ya kipaza sauti kiweze kunasa video za sauti.
Signal inahitaji ruhusa za kipaza sauti kurekodi video, lakini imekataliwa. Tafadhali enda kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kipaza Sauti\" na \"Kamera\".
Signal inahitaji ruhusa za kipaza sauti ili kurekodi video.
%1$s %2$s
Signal haiwezi kutuma jumbe za SMS au MMS kwa sababu sio programu chaguo-msingi ya SMS. Unataka kubadilisha mipangilio ya Android?
Ndio
Hapana
%1$d kwa %2$d
Hakuna matokeo
Pakiti ya vibandiko imesakinishwa
Mpya! Iseme kwa vibandiko
- %d majumbe haijasomewa
- %d Jumbe hazijasomwa
- Futa ujumbe uliochaguliwa?
- Futa jumbe zilizochaguliwa?
- Hili litafuta daima ujumbe uliochaguliwa.
- Hii itafuta kabisa ujumbe wote %1$d uliochaguliwa.
Hifadhi kwa hifadhi?
- Kuhifadhi media hii kwenye kumbukumbu kutawezesha programu nyinginezo kwenye kifaa chako kuifikia.\n\nEndelea?
- Kuhifadhi media %1$dyote kutawezesha programu nyinginezo kwenye kifaa chako kuzifikia.\n\nEndelea?
- kosa wakati wa kuhifadhi kiambatisho kwenye stoo
- Hitilafu katika kuhifadhi ambatanisho kwa hifadhi.
Imeshindwa kuhifadhi kwa kuhifadhi
- Inahifadhi kiambatisho
- Inahifadhi viambatisho %1$d
- Inahifadhi kiambatisho kwenye ghala…
- Inahifadhi viambatisho %1$dkwenye hifadhi
Subiriwa…
Data (Signal)
Ujumbe wa picha
Ujumbe wa maneno
Kufuta
Inafuta jumbe
Ujumbe halisi haupatikani
Ujumbe halisi haupo tena
Imeshindwa kufungua ujumbe
Unaweza kusongeza kidole kwa upande wa kulia kwa ujumbe wowote ili kujibu haraka
Unaweza kusongeza kidole kwa upande wa kushoto kwa ujumbe wowote ili kujibu haraka
Faili zako za mtazamo mmoja zinazotumwa zinaondolewa punde tu zinapotumwa
Umeshautazama ujumbe huu
Hakuna kivinjari kilichosakinishwa kwenye kifaa chako.
Hakuna matokeo yaliyopatikana kwa \'%s\'
- Futa mazungumzo umechagua?
- Futa mazungumzo uliyoyachagua?
- Hili litafuta daima gumzo lililochaguliwa.
- Hili litafuta kabisa gumzo %1$dzote zilizochaguliwa.
Inafutwa
Inafuta mazungumzo yaliyochaguliwa…
- Gumzo limewekwa kwenye kumbukumbu
- Gumzo %dzimewekwa kwenye jalada
TENGUA
- Gumzo limehamishwa hadi kwenye kisanduku pokezi
- Gumzo %dzimehamishwa hadi kwenye kisanduku pokezi
Ujumbe muhimu wa kubadilishana
Mazungumzo yaliyohifadhiwa kwenye jalada (%d)
Imethibitishwa
Wasifa
Hitilafu kuweka picha ya wasifu
Hitilafu kuweka wasifu
Picha ya wasifu
Anzisha wasifu wako
Wasifu za Signal ni za usimbuaji fiche mwisho hadi mwisho, na seva ya huduma ya Signal kamwe haiwezi kufikia habari hizi.
Weka umbo
Inatumia kaida: %s
Inatumia chaguo msingi: %s
Hakuna
Sasa
d %d
Leo
Jana
Inatuma
Imetumwa
imefika
Soma
Tenganisha \' %s\'?
Kwa kutengua uunganishwaji wa kifaa hiki, hakitaweza tena kutuma au kupokea ujumbe.
Kuunganisha mtandao kumefeli
Jaribu tena
Inatengua uunganishwaji kifaa…
Inatengua uunganishwaji kifaa…
Mtandao umefeli!
Kifaa kisichokuwa na jina
Kimeunganishwa %s
Mwisho hai %s
Leo
Faili isiyo na jina
Panga kwa Huduma za Play sizizopo.
Kifaa hiki hakiwezeshi Huduma za Play. Gonga ili kulemaza na kuboresha mfumo wa betri unaozuia Signal kupokea ujumbe wakati haupo kwenye matumizi.
Shiriki na
Karibu Signal
TextSecure na RedPhone sasa ni mjumbe mmoja binafsi, kwa kila hali: Signal.
Karibu Signal
TextSecure sasa ni Signal.
TextSecure na RedPhone sasa ni programu moja: Signal. Gonga ili kugundua.
Sema habari kwenye simu salama ya video
Signal sasa inawezesha kupiga ya video kwa njia salama. Anza tu simu ya Signal kama ya kawaida, gonga kitufe cha video, na punga habari.
Signal sasa inawezesha usalama wa simu za video
Signal sasa inawezesha usalama wa simu za video. Gusa kugundua
Tayari kwa picha ya karibu?
Sasa unaweza kushiriki wasifu wa picha na jina kwa rafiki zako walioko Signal
Wasifu wa Signal ni hapa
Kutambulisha viashiria vya kucharaza.
Sasa unaweza kuchagua hiari na kushiriki wakati ujumbe unapocharazwa
Ungependa kuwezesha sasa?
Viashiria vya kucharazia viko hapa
Wezesha viashiria vya kucharaza
Washa viashiria vya kucharazia
Hapana nashukuru
Kuanzisha hakiki za kiungo
Kiungo cha hakiki za hiari sasa kinategemezwa na baadhi ya tovuti maarufu mtandaoni.
Unaweza kulemaza ama kuwezesha kipengele hiki wakati wowote kwenye mipangilio yako ya Signal (Faragha > Tuma hakiki za kiungo).
Nimeelewa
Kuwasilisha vibandiko
Mbona utumie maneno wakati unaweza kutumia vibandiko?
Mbona utumie maneno wakati unaweza kutumia vibandiko?
Gusa ikoni hii kwenye kicharazio chako:
Twende kazi
Inaleta ujumbe
Muda wote mawasiliano ya Signal yanafeli!
Signal haikuweza kujisajili na Huduma za Google Play. Ujumbe wa Signal na simu zimezimwa, tafadhali jaribu kujiandikisha katika Mipangilio > Zaidi.
Hitilafu wakati wa kurejesha GIF kamili ya azimio
GIFs
Vibandiko
Kikundi kipya
Hariri kikundi
Jina la kikundi
Kikundi kipya cha MMS
Umechagua mwasiliani asiyetumia vikundi vya Signal, kwayo kikundi hiki kitakuwa MMS.
Huna usajili kwa ujumbe wa Signal na simu, hivyo vikundi vya Signal vimelemazwa. Tafadhali jaribu kujiandikisha katika Mipangilio & gt; Zaidi.
Unahitaji angalau mtu mmoja kwenye kundi lako!
Mmoja wa wanachama wa kikundi chako ana namba ambayo haiwezi kusomeka kwa usahihi. Tafadhali rekebisha au uondoe mwasiliani na ujaribu tena.
Kundi la avatar
Omba
Inaunda %1$s
Inasasishwa %1$s…
Haikuweza kuongea %1$s kwa sababu, hatatumii Signal.
Inafungua habari za kundi…
Tayari upo kwenye kikundi
Shiriki jina la wasifu wako katika kikundi hiki
Unataka kufanya jina lako la wasifu na picha vionekane kwa wanachama wote wa sasa na wa baadaye wa kikundi hiki?
Onyesha
Mimi
Kundi la avatar
Umbo
Gonga na shikilia kurekodi ujumbe wa sauti, wachilia kitufe kutuma
Shiriki
Chagua mawasiliano
Shiriki na wawasiliano wako
Chagua jinsi ya kushiriki
Ghairi
Inatuma…
Moyo
Mialiko imetumwa!
Alika kwa Signal
- TUM SMS KWA MARAFIKI %d
- TUMA SMS KWA%dMARAFIKI
- Tuma miwito za SMS 1%d?
- Tuma %d mialiko ya SMS?
Wacha tubadili kwa Signal: %1$s
Inaonekana huna programu zozote za kushiriki
Marafiki hawawaachi marafiki kufanya gumzo zisizo na msimbo fiche.
Inafanya kazi kwa usuli
Imeshindwa kutuma
Nambari mpya ya usalama
Imeshindwa kupata ujumbe
Ujumbe kutoka %1$s
Ujumbe wako
Signal
kuunganisha kwa usuli kumewezeshwa
Hitilafu kusoma mipangilio ya mtoa huduma za wireless MMS
Midia
Faili
Sauti
Zote
- Futa kitu kilichochaguliwa?
- Futa vitu vilivyochaguliwa?
- Hili litafuta daima faili iliyochaguliwa. Ujumbe wowote mfupi unaohusishwa na kitu hiki pia utafutwa.
- Hii itafuta daima faili %1$dzote zilizochaguliwa. Ujumbe wowote mfupi unaohusishwa na vitu hivi pia utafutwa.
Inafutwa
Jumbe zinafutwa
Chagua zote
Inakusanya viambatisho
Panga kwa
Mpya kabisa
Nzee zaidi
Hifadhi iliyotumika
Hifadhi yote iliyotumika
Mtazamo wa kigridi
Mtazamo wa kiorodha
Iliyochaguliwa
- %1$dkitu%2$s
- %1$dvitu%2$s
- %1$dkitu
- %1$dvitu
Faili
Sauti
Video
Picha
Umetumwa na %1$s
Uliyotuma
Umetumwa na %1$s kwa %2$s
Umetumwa na wewe kwa %1$s
Kuzindua hisia
Donoa na ushikilie ujumbe wowote ili kwa haraka ushiriki unavyohisi.
Nikumbushe baadaye
Simu ya Signal inaendelea
Inaanzisha simu ya Signal
Simu ya Signal inayoingia
Ghairi simu
Pokea simu
Mwisho wa kupiga simu
Ghairi simu
Ujumbe wa Multimedia
Inapakua ujumbe wa MMS
Hitilafu kupakua ujumbe wa MMS, bofya ili ujaribu tena
Tuma kwa %s
Fungua kamera
Gusa kuchagua
Ongeza maelezo…
Kipengee kimetolewa kwa sababu kimezidi ukubwa unaokubalika
Kamera haipatikani
Tuma ujumbe kwa %s
Ujumbe
Chagua wapokeaji
Signal inahitaji upatikanaji wa anwani zako ili kuzionyesha.
Signal inahitaji ruhusa za Wawasiliani wako ili kuonyesha wawasiliani wako, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali enda kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Wawasiliani\".
- Huwezi kugawiza kuliko vitu 1%d.
- Huwezi kushiriki zaidi ya %dvitu
Chagua wapokeaji
Gusa hapa ili kufanya ujumbe huu kutoweka baada ya kusomwa.
Media zote
Umepokea ujumbe uliosimbwa kutumia toleo la zamani la Signal ambalo halitumiki tena. Tafadhali muombe mtumaji kusasisha hadi toleo la hivi karibuni na kutuma tena ujumbe.
Umeondoka kwenye kundi.
Umesasisha kikundi
Umepiga
Mwasiliani alipiga
Simu iliyokoswa
1%s amesasisha kikundi
1%s alikupigia
Imepiga%s
Umekosa simu kutoka kwa%s
1%s yupo Signal!
Umelemaza jumbe zinazopotea
%1$s amelemaza jumbe zinazopotea
Umeweka kitufe cha wakati cha ujumbe unaotoweka kwa %1$s.
%1$s Weka kitufe cha wakati cha ujumbe unaotoweka kwa %2$s.
Nambari yako ya usalama pamoja na 1%s imebadilika
Umenakili nambari yako ya usalama pamoja na %s imethibitishwa
Umeweka alama kwa nambari yako ya usalama na %s kuwa imehakikishwa kutoka kwa kifaa kingine.
Umeweka alama kwenye nambari yako ya usalama na %s kuwa haijahakikishwa
Umeweka alama kwenye nambari yako ya usalama na %s kuwa haijahakikishwa kutoka kwa kifaa kingine
Nenosiro haiwiani
Nenosiri la zamani lisilo sahihi
Ingiza Nenosiri mpya!
Unganisha kifaa hiki?
GHAIRI
ENDELEA
Itaweza ku
• Soma jumbe zako zote
\n• Tuma jumbe kwa jina lako
Kifaa kinaunganishwa
Kifaa kipya kinaunganishwa
Kifaa kimeidhinishwa
Hakuna kifaa kilichopatikana
Hitilafu ya kimtandao
Msimbo wa QR sio sahihi
Samahani, una vifaa vingi vilivyounganishwa tayari, jaribu kuondoa baadhi
Samahani, hiki sio kiungo halali cha msimbo wa QR kwa kifaa
Unganisha kifaa cha Signal
Inaonekana unajaribu kuunganisha kifaa cha Signal kwa kutumia skana ya mhusika wa 3. Kwa usalama wako, tafadhali skani msimbo tena kutoka ndani ya Signal.
Signal inahitaji ruhusa ya Kamera ili kuskani msimbo wa QR, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kamera\".
Imeshindwa kuskani msimbo wa QR bila ruhusa ya Kamera
Jumbe zinazopotea
Ujumbe wako hautopitwa na wakati
Ujumbe utakaotumwa na kupokewa kwenye gumzo hili utatoweka %s baada ya kuonekana.
Ingiza nenosiri
Signal ikoni
Wasilisha nenosiri
Nenosiri sio sahihi
Fungua Signal
Ramani
Si anwani halali
Weka nambari ya siri
Kubali anwani
Toleo la Huduma za Google Play ulilosakinisha halifanyi kazi vizuri. Tafadhali sakinisha tena Huduma za Google Play na ujaribu tena.
Tathmini programu hii
Iwapo unapendezwa na programu hii, tafadhali chukua muda utusaidie kuitathmini.
Tathmini sasa
Hapana nashukuru
Baadaye
Duh, programu ya Play Store inaonekana haijasakinishwa kwenye kifaa chako.
Zote%1$d
+%1$d
Zuia mwasiliani huyu?
Hautapokea tena ujumbe na simu kutoka kwa mwasiliani huyu
Zuia na ondoka kundi hili?
Zuia kundi hili?
Hautaweza kupokea ujumbe ama sasisho kutoka kwenye kikundi hiki.
Zuia
Ondoa kizuizi kwa mwasiliani huyu?
Utaweza tena kupokea jumbe na simu kutoka kwa mwasiliani huyu
Ondoa kizuizi kwa kundi
wanachama waliopo wataweza kukurudisha kwenye kundi tena
Hitilafu kuondoka kwenye kundi
Fungua
Wezeshwa
Lemazwa
inapatikana mara tu ujumbe utakapokuwa umetumwa au kupokelewa.
Kundi halina jina
Inajibu
Inamaliza simu
Inadayo
Inapiga
Bize
Imeunganishwa
Mpokeaji hapatikani
Mtandao umefeli
Nambari haijasajiliwa
Nambari uliyopiga haiwezi sauti salama!
Nimeelewa
Chagua nchi yako
Lazima utaje nambari za nchi yako
Lazima utaje
nambari yako ya simu
Nambari si sahihi
Nambari uliyotaja (%s) sio sahihi
Huduma za Google Play zinakosekana
Kifaa hiki kimekosa huduma za Google Play. Bado unaweza kutumia Signal, lakini usanidi huu unaweza kusababisha upungufu wa kutegemewa au utendaji. \ n\n \ Kama wewe si mtumiaji wa juu, hautumii Android ROM, au unaamini kwamba unaona hili kimakosa, tafadhali wasiliana na support@signal.org kwa usaidizi wa matatizo.
Nimeelewa
Hitilafu katika huduma za Play
Huduma za Google Play zinasasisha au hazipatikani kwa muda. Tafadhali jaribu tena.
Vigezo &: Sera ya Faragha
Haiwezekani kufungua kiungo hiki. Hakuna kivinjari kilichopatikana
Taarifa zaidi
Taarifa chache
Signal inahitaji kupata wawasiliani wako ama Media ili kukuunganisha na marafiki, kubadilishana jumbe, na kupiga simu kisalama
Imeshindwa kuunganisha kwenye huduma. Tafadhali angalia muunganisho wako wa mtandao na ujaribu tena.
Ili kuthibitisha nambari yako ya simu kwa urahisi, Signal inaweza kugundua moja kwa moja msimbo wako wa kuthibitisha kama utakubali Signal itazame jumbe fupi.
- Sasa uko hatua %dkabla uwasilishe faili la rekebisho.
- Sasa uko hatua %d kabla uwasilishe faili la rekebisho.
Tunahitaji kuthibitisha wewe ni mtu.
Imeshindwa kuthibitisha msimbo wa CAPTCHA
Ifuatayo
Endelea
Endelea ( majaribio %dyamebakia)
Endelea (jaribio la mwisho!)
Enda na faragha.\n Kuwa wewe katika kila ujumbe
Ingiza nambari yako ya simu kuanza
Utapokea msimbo wa kuthibitisha. Gharama za mtoa huduma ya mawasiliano yako zitatumika.
Ingiza msimbo tuliotuma kwa %s
Nambari ya simu
Nambari ya nchi
Piga
Onyesha Picha
Tazama video
Imetazamwa
Media
Imefeli kuhifadhi mabadiliko ya picha
Hakuna matokeo yamepatikana kwa \'%s\'
Mazungumzo
Wawasiliani
Jumbe
Ongeza mawasiliano
Mwalike kwenye Signal
Ujumbe wa Signal
Simu ya Signal
Ongeza kwa wawasiliani
Mwalike kwenye Signal
Ujumbe wa Signal
Picha
Kibandiko
Sauti
Video
Umepokea ufunguo wa kubadilishana ujumbe iliovurugwa
Umepokea ufunguo wa kubadilishana ujumbe wa itifiki isiyo sahihi.
Ujumbe uliopokelewa pamoja na nambari mpya ya usalama. Gusa kuchakata na kuonyesha.
Umeseti upya kipindi salama
%s Seti tena kipindi salama
Ujumbe nakala
Huu ujumbe haukuchakatishwa kwa sababu umetumwa kutoka kwa toleo jipya la Signal. Unaweza kuomba mwasiliani wako akutumie ujumbe huu tena baada ya wewe kusasisha.
Hitilafu kushughulikia ujumbe unaoingia
Vibandiko
Vibandiko Vilivyosakinishwa
Vibandiko Ulivyovipokea
Mfululizo wa Msanii wa Signal
Hakuna vibandiko vilivyosakinishwa
Vibandiko kutoka kwa jumbe zinazoingia zitaonekana hapa
Haina kichwa
Isiyojulikana
Haina kichwa
Isiyojulikana
Sakinisha
Ondoa
Kibandiko
Imeshindwa kupakia pakiti ya vibandiko
Kikundi kimesasishwa
Kajiondoa kutoka kikundi
Kipindi salama kimewekwa upya
Rasimu
Ulipiga
Alikupigia
Simu uliyokosa
Ujumbe wa Media
Kibandiko
Picha ya mtazamo mmoja
Video ya mtazamo mmoja
Media ya mtazamo mmoja
%s yupo Signal
Jumbe zinazopotea zimelemazwa
Muda wa jumbe zinazopotea umewekwa kwa 1%s
Nambari salama imebadilika
Nambari yako ya usalama pamoja na 1%s imebadilika
Umeweka kuthibitishwa?
Umeweka kutothibitishwa
Ujumbe haujaweza kuchakatishwa
Sasisho ya Signal
Toleo jipya la Signal linapatikana, bonyeza kusasisha
Zuia 1%s?
Nambari zilizozuiliwa hazitoweza kukutumia jumbe au kukupigia simu
Zuia
Shiriki wasifu na 1%s
Njia rahisi ya kushirikisha taarifa za wasifu wako ni kuongeza mtumaji kwenye anwani zako. Kama usingependa, bado unaweza kushirikisha taarifa za wasifu wako kwa njia hii.
Shiriki wasifu
Tuma ujumbe?
Tuma
Tuma ujumbe?
Tuma
Jina la mtumiaji
Tuma
Futa
Jina la mtumiaji limefanikiwa kuwekwa.
Jina la mtumiaji limefanikiwa kuondolewa.
Imekumbana na hitilafu ya mtandao.
Jina hili la mtumiaji limechukuliwa.
Jina hili la mtimiaji linapatikana.
Majina ya watumiaji yanaweza kujumuisha tu a-Z, 0-9, na alama za underscore.
Majina ya watumiaji hayawezi kuanza kwa nambari.
Jina la mtumiaji si halali.
Majina ya watumiaji lazima yawe kati ya vibambo %1$dna %2$d.
Watumiaji wengine wa Signal wanaweza kutuma maombi ya ujumbe kwa jina lako la kipekee la mtumiaji bila kujua nambari yako ya simu. Kuchagua jina la mtumiaji ni kwa hiari.
Mawasiliano yako yanaendesha toleo la zamani la Signal. Tafadhali waombe wasasishe kabla ya kuthibitisha nambari yako ya usalama.
Mawasiliano yako yanaendesha toleo jipya la Signal na muundo wa msimbo wa QR usiopatanisha. Tafadhali sasisha ili upatanishe
Scani ya msimbo wa QR sio ya muundo sahihi wa nambari ya msimbo salama wa kuthibitisha. Tafadhali jaribu kuscani tena.
Shiriki nambari salama kupitia…
Nambari yetu ya usalama ya Signal
Inaonekana huna programu yoyote ya kushiriki
Hamna nambari ya usalama ya kulinganisha iliyopatikana kwenye bodi ya kupogoa
Signal inahitaji ruhusa ya Kamera ili kuskani msimbo wa QR, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kamera\".
Imeshindwa kuskani msimbo wa QR bila ruhusa ya kamera
Ujumbe wa msimbo fiche mbaya.
Ujumbe umesimbwa kwa kipindi kisichopo
Ujumbe wa MMS umesimbwa vibaya
Ujumbe wa MMS umesimbwa kwa kipindi kisichopo
Zima arifa
Hakuna kivinjari kilichosakinishwa
Uingizaji unaendelea
Inaingiza jumbe za maneno
Uingizaji umekamilika
Mfumo wa hifadhidata umemaliza kuingiza
Gusa kufungua
Gusa kufungua, au gusa kifungio kufunga
Signal imefunguliwa
Funga Signal
Wewe
Aina ya media isiyowezeshwa
Rasimu
Signal inahitaji ruhusa ya Hifadhi ili kuhifadhi kwenye hifadhi ya nje, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Uhifadhi\".
Haiwezekani kuhifadhi kwenye hifadhi ya nje bila ruhusa
Futa ujumbe?
Hii itafuta ujumbe kabisa
%1$shadi %2$s
%1$d ujumbe mpya kwa %2$d mazungumzo
Ya hivi karibuni kutoka: %1$s
Ujumbe uliofungwa
ujumbe wa Media %s
Uwasilishaji ujumbe umefeli
Imefeli kuwasilisha ujumbe
Hitilafu kuwasilisha ujumbe
Nakili yote kama imesomwa
Nakili imesomwa
Ujumbe wa Media
Kibandiko
Picha ya mtazamo mmoja
Video ya mtazamo mmoja
Jibu
Ujumbe wa Signal
Ujumbe usio salama
Inawezekana una jumbe mpya
Fungua Signal kuangalia taarifa mpya
%1$s %2$s
Mawasiliano
Ametoa hisia %1$skwa: \"%2$s\".
Ametoa hisia%1$s kwa video yako.
Ametoa hisia%1$s kwa picha yako.
Ametoa hisia %1$s kwa faili yako.
Ametoa hisia %1$s kwa sauti yako.
Ametoa hisia %1$s kwa picha yako ya mtazamo-mmoja.
Ametoa hisia %1$s kwa video yako ya mtazamo-mmoja.
Ametoa hisia%1$s kwa kibandiko chako.
Chaguo Msingi
Simu
Zilizoshindwa
Nakalahifadhi
Funga hali
Sasisho za programu
ingine
Jumbe
Isiyojulikana
Jina lako la wasifa limefanikiwa kuwekwa.
Imekumbana na hitilafu ya mtandao.
Jibu la haraka halipatikani wakati Signal imefungwa!
Tatizo kutuma ujumbe
Imehifadhiwa kwa %s
Imehifadhiwa
Tafuta
Tafuta mazungumzo, mawasiliano na jumbe
Mkato batili
Signal
Ujumbe mpya
Cheza video
Ina maelezo mafupi
- Kitu %d
- Vitu %d
Kifaa hakijasajiliwa tena
Hii inawezekana kwa sababu umeandikisha nambari yako ya simu na Signal kwenye kifaa tofauti. Gonga ili kujiandikisha tena.
Hitilafu kuchezesha video
Ili kujibu simu kutoka kwa %s, ruhusu Signal ifikie kipaza sauti chako.
Signal inahitaji ruhusa ya kipaza sauti na Kamera ili kufanya au kupokea simu, lakini zimekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kipaza sauti\" na \"Kamera\".
Nambari ya usalama ya gumzo lako na %1$simebadilika. Hili linaweza kumaanisha kuwa aidha kuna mtu anayejaribu kuingilia mawasiliano yenu, ama tu %2$samesakinisha upya Signal.
Unangependa kuhakiki nambari yako ya usalama na anwani hii.
Nambari mpya ya usalama
Kubali
Mwisho wa simu
Gusa kuwezesha video yako
Picha ya mwasiliani
Msemaji
Bluetooth
Zima
Kamera yako
Badili hadi kamera ya nyuma
Pokea simu
Ghairi simu
Sauti
Sauti
Mwasiliani
Mwasiliani
Kamera
Kamera
Eneo
Eneo
GIF
Gif
Picha au video
Faili
Matunzio
Faili
Gura droo ya kiambatisho
Nenosiri la zamani
Nenosiri mpya
Rudia nenosiri mpya
Ingiza jina au nambari
Mwalike kwenye Signal
Futa matini iliyoingizwa
Onyesha kicharazio
Onyesha dayopadi
Hakuna wawasiliani
Inapakia wawasiliani…
Picha ya mwasiliani
Signal inahitaji idhini ya Wawasiliani ili kuonyesha wawasiliani wako, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye orodha ya mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Wawasiliani\".
Hitilafu kupata wawasiliani, angalia uunganisho wako wa mtandao
Jina la mtumiaji halijapatikana
\"%1$s\" sio mtumiaji wa Signal. Tafadhali angalia jina la mtumiaji na ujaribu tena.
Sawa
Hakuna mawasiliano yaliyofungiwa
Signal inahitaji upatikanaji wa wawasiliani yako ili kuonyesha.
onyesha mawasiliano
Ujumbe wa Signal
Ujumbe usio salama
MMS isiyo salama
Kutoka 1%1$s
SIM %1$d
Tuma
Utungaji wa ujumbe
Badili kicharazio emoji
Maelezo ya kiambatanisho
Badili haraka droo ya kiambatanisha
kamera
Rekodi na tuma kiambatisho cha sauti
Funga kurekodi kwa kiambatisho cha sauti
Wezesha Signal kwa Ujumbe
Telezesha ili kughairi
Ghairi
Ujumbe wa Media
Ujumbe salama
Imefeli kutuma
Inasubiri idhini
Imewasilishwa
Ujumbe umesomwa
Picha ya mwasiliani
Cheza … Pumzisha
Pakua
Sauti
Video
Picha
Media ya mtazamo-mmoja
Kibandiko
Faili ya maandiko
Wewe
Ujumbe asili haupatikani
Biringiza hadi chini
Inapakia nchi
Tafuta
Skani Msimbo wa QR ulioonyeshwa kwenye kifaa ili kuunganisha
Unganisha kifaa
Hakuna vifaa vilivyounganishwa
Unganisha kifaa kipya
endelea
Jumbe zilizosomwa zipo hapa
Hiari kuona na kushiriki wakati jumbe zimeshasomwa
Wezesha jumbe zilizosomwa
Zima
- nukta %d
- nukta %d
1%d s
- dakika 1%d
- dakika %d
d %d
- masaa 1%d
- masaa %d
%d h
- siku 1%d
- siku %d
1%d d
- majuma 1%d
- majuma %d
%d w
Nambari yako ya usalama %sna imebadilika na haijathibitishwa tena
Nambari zako za usalama %1$s na %2$s sasa hazijathibitishwa tena
Nambari zako za usalama na %1$s, %2$s, na %3$shazijathibitishwa tena.
Nambari yako ya usalama na %1$simebadilika na haijathibitishwa tena. Hili linamaanisha kuwa aidha kuna mtu anayejaribu kuingilia mawasiliano yako, ama tu %1$samesakinisha upya Signal.
Nambari zako za usalama na %1$s na %2$s hazijathibitishwa tena. Hili linaweza kumaanisha kuwa aidha kuna mtu anayejaribu kuingilia mawasiliano yako, au tu amesakinisha upya Signal.
Nambari zako za usalama na %1$s, %2$s, na %3$s hazijahakikishwa. Hili linaweza kumaanisha kuwa aidha kuna mtu anayejaribu kuingilia mawasiliano yenu, au tu wamesimika upya Signal.
Nambari yako ya usalama pamoja na 1%s imebadilika
Nambari zako za usalama na %1$s na %2$szimebadilika.
Nambari zako za usalama na %1$s, %2$s, na %3$s zimebadilika.
- %d wengine
- %d Wengine
Tafuta GIF na vibandiko
Hakuna kilichopatikana
Haikuweza kusoma faili ya kumbukumbu kwenye kifaa chako. Bado unaweza kutumia ADB kupata faili ya kueua badala yake.
Asante kwa msaada wako
Inatuma
Hakuna kivinjari kilichosakinishwa
Usitume
Tuma
Nimeelewa
Tunga barua pepe
Faili hii itawekwa hadharani mkondoni ili wachangiaji watazame, unaweza kuikagua na kuihariri kabla ya kuiwasilisha.
Inapakia logi
Inapakia logi
Mafanikio!
Nakili URL na uiongeze kwenye ripoti yako ya suala ama barua pepe-egemezi:\n\n%1$s\n
Ilinakiliwa kwenye ubao wa kupogoa.
Chagua program ya barua pepe
Tafadhali hakiki faili hili kutoka kwa programu yangu: %1$s
Mtandao umefeli. Tafadhali jaribu tena
Je! Ungependa kuingiza jumbe zako za matini zilizopo kwenye hifadhidata salama ya Signal?
Chaguo msingi lako ya mfumo wa hifadhidata halitabadilishwa kwa njia yoyote.
Ruka
Ingiza
Hii itachukua muda. Tafadhali kuwa mvumilivu, tutakujulisha wakati uingizaji utakapokamilika.
INAINGIZA
Ingiza mfumo wa ujumbe wa hifadhidata
Ingiza hifadhidata kutoka kwa mfumo chaguo msingi wa programu ya messenger
Ingiza nakalahifadhi isiyosimbwa
Ingiza nakala ya faili yenye maandishi yasiyosimbwa. Inalingana na \'Nakalahifadhi ya Ujumbe Mfupi na amp; Rudisha upya\'.
Angalia mazungumzo yote
Inapakia
Hakuna media
Tazama
TUMA TENA
Inatuma tena
- %1$s ameingia kikundi.
- %1$s amejiunga na kikundi.
Jina la kundi sasa ni \'1%1$s\'
Fanya jina la wasifa wako na picha vionekane kwa kundi hili
Fungua
Signal inahitaji mipangilio ya MMS ili kuwasilisha ujumbe wa media na wa kikundi kwa njia ya mtoa huduma yako ya wireless. Kifaa chako hakitoi taarifa hizi, ambazo mara kwa mara ni za kweli kwa vifaa vilivyofungwa na usanidi mwingine unaozuia.
Kutuma ujumbe wa media na vikundi, gonga \'Sawa\' na kamilisha mipangilio iliyoombwa. Mipangilio ya MMS ya mtoa huduma yako inaweza kwa kawaida kupatikana kwa kutafuta \'APN ya mtoa huduma yako\'. Utahitaji tu kufanya hili mara moja.
Jina la kwanza (linahitajika)
Jina la mwisho (la hiari)
Ifuatayo
Jina la mtumiaji
Unda jina la mtumiaji
Media iliyoshirikishwa
Zima gumzo
Taarifa kaida
Mpangilio wa taarifa za mfumo
Taarifa ya sauti
Tetemesha
Zuia
Rangi
Tazama nambari ya usalama
Mpangilio wa Mazungumzo
Faragha
Mpangilio wa kupiga simu
Mlio wa simu
Simu ya Signal
NAMBARI YA SIMU
Signal inarahisisha kuwasiliana kwa kutumia nambari yako ya simu iliyopo na kitabu cha anwani. Marafiki na wawasiliani ambao tayari wanajua jinsi ya kuwasiliana nawe kwa simu wataweza kuwasiliana kwa urahisi na Signal. \ n \ nUsajili unatuma maelezo fulani ya mawasiliano kwenye seva. Hayahifadhiwi.
Hakiki namba yako
Tafadhali ingiza nambari yako ya simu ili upokee nambari ya kuthibitisha. Malipo ya mtoa huduma yatazingatiwa
Ingiza jina au nambari
Ongeza wanachama
Mtumaji hayupo kwenye orodha yako ya mawasiliano
ZUIA
Ongeza kwa wawasiliani
USIONGEZE, ILA FANYA WASIFA UONEKANE
Fahamu zaidi. ]]>
Gusa kuskani
Inapakia
Iliyothibitishwa
Shiriki nambari salama
Sogeza juu kujibu
Sogeza chini kukataa
Baadhi ya masuala yanahitaji umakini wako
Imetumwa
Imepokelewa
Inatoweka
Kupitia
Kuelekea:
Kutoka:
Na:
Unda Nenosiri
Chagua wawasiliani
Badili Nenosiri
Thibitisha nambari salama
Wasilisha tunzakumbukumbu ya kueua
Uhakiki wa media
Maelezo ya ujumbe
Vifaa vilivyounganishwa
Alika marafiki
Mazungumzo yaliyojalidiwa
Ondoa picha
Ingiza
Tumia chaguo msingi
Tumia kaida
Zima kwa saa 1
Zima kwa masaa 2
Zima kwa siku 1
Zima kwa siku 7
Zima kwa mwaka 1
Mipangilio chaguo msingi
Imewezeshwa
Imelemazwa
Jina na ujumbe
Jina tu
Hakuna jina wala ujumbe
picha
Sauti
Video
Nyaraka
Ndogo
Kawaida
Kubwa
Kubwa zaidi
Chaguo msingi
Juu
Upeo
- masaa %d
- masaa %d
SMS na MMS
Pokea SMS zote
Pokea MMS zote
Tumia Signal kwa ujumbe wote unaoingia
Tumia Signal kwa ujumbe wote unaoingia wa multimedia
Ingiza za kutuma zilizo muhimu
Kubonyeza kitufe cha ingizo kutatutuma ujumbe wa maandishi
Tuma kiungo cha kuhakiki
Uhahiki umetegemezwa kwenye viungo vya Imgur, Instagram, Pinterest, Reddit na YouTube
Chagua utambulisho
Chagua mwasiliani kutoka kwenye orodha yako ya wawasiliani
Badili Nenosiri
Badili Nenosiri lako
Wezesha Nenosiri la kufunga skriini
Funga skriini na arifa pamoja na Nenosiri
usalama wa skrini
Zuia viwambo vya skrini katika orodha ya rekodi na ndani ya programu
Funga Signal kiotomatiki baada ya muda fulani usio na utendaji
Nenosiri la uishaji muda
Kipindi cha uishaji muda
Arifa
Mipangilio ya arifa ya mfumo
Rangi za LED
Isiyojulikana
Mfano wa LED blink
Sauti
Kimya
Rudia arifu
Kamwe
Mara moja
Mara mbili
Mara tatu
Mara tano
Mara kumi
Tetemeka
Kijani
Nyekundu
Buluu
Njano
Cyan
Magenta
Nyeupe
Hakuna
Haraka
Kawaida
Polepole
ya juu
Faragha
Wakala wa mtumiaji wa MMS
Mwongozo wa mpangilio wa MMS
MMSC URL
Mwenyeji wa MMS Proxy
Poti ya MMS Proxy
Jina la mtumiaji MMSC
Nenosiri la MMSC
Ripoti ya ujumbe uliowasilishwa
Omba ripoti ya uwasilishwaji kwa kila ujumbe wa SMS unayotuma
Futa moja kwa moja ujumbe wa zamani mara mazungumzo yanapozidi muda fulani
Futa ujumbe wa zamani
Gumzo na Media
Hifadhi
Upeo wa maongezi
Punguza mazungumzo yote sasa
Pitia mazungumzo yote na uimarishe upeo wa mazungumzo
Vifaa vilivyounganishwa
Mwanga
Giza
Mfumo
Muonekano
mandhari
Chaguo Msingi
Lugha
Ujumbe na simu za Signal
Ujumbe wa faragha wa bure na simu kwa watumiaji wa Signal
Wasilisha tunzakumbukumbu ya ueuaji
\'\'Simu ya Wi-Fi\' aina ya utangamano
Wezesha iwapo kifaa chako kinatumia uwasilishaji wa SMS / MMS juu ya WiFi (wezesha tu wakati \"Simu ya WiFi\" imewezeshwa kwenye kifaa chako)
Baobonye isiyotambulika
Jumbe zilizosomwa
Ikiwa jumbe zilizosomwa zimemalemezwa, hutaweza kuona jumbe zilizosomwa kutoka kwa wengine
Viashiria vya kucharaza
Ikiwa viashiria vya kucharaza vimelemazwa, hutaweza kuona viashiria vya kucharaza kutoka kwa wengine.
Omba kibaobonye kulemaza kujifunza kwa kibinafsi
Wawasiliani waliozuiliwa
Wakati unatumia mtandao wa simu
Wakati unatumia WiFi
Wakati unarandaranda
Media kupakua kiotomatiki
Upunguzaji ujumbe
Matumizi ya hifadhi
Picha
Video
Faili
Sauti
Pitia tena hifadhi
Tumia emoji ya mfumo
Lemaza emoji iliyojengwa ndani ya Signal
Wasilisha simu zote kupitia Signal seva kuzuia kutambulisha anwani yako ya IP kwa mwasiliani wako. Kuwezesha kutapunguza ubora wa simu
Wasilisha simu kila mara
Ufikiaji programu
Mawasiliano
Gumzo
Jumbe
Matukio
Sauti za gumzo
Onyesha
Simu
Mlio wa simu
Onyesha mwaliko
Onyesha mwaliko ya wawasiliani wasio na Signal
ukubwa wa maandishi ya ujumbe
Mwasiliani amejiunga na Signal
Kipaumbele
Mtumaji mwenye muhuri
Onyesha viashiria
Onyesha icon ya hali wakati unapochagua \"Maelezo ya Ujumbe\" kwenye jumbe uliotolewa kupitia mtumaji mwenye muhuri.
Ruhusu kutoka kwa kila mtu
Wezesha mtumaji mwenye muhuri kwa jumbe zinazoingia kutoka kwa wasio wasiliani na watu ambao hukushiriki wasifu wako
Jifunze zaidi
Ujumbe mpya kuelekea…
Simu
Simu ya Signal
Simu ya video ya Signal
Maelezo ya ujumbe
Nakili matini
Futa ujumbe
Tuma ujumbe
Tuma tena ujumbe
Jibu ujumbe
Chagua anuai
Hifadhi ambatisho
Jumbe zinazotoweka
Ujumbe zinazopitwa na muda
Alika
Futa iliyochaguliwa
Chagua zote
Jalidi iliyochaguliwa
Ondoa kwenye jalada iliyochaguliwa
Njia mkato ya mipangilio
Tafuta
Picha ya mwasiliani
Jalidiwa
Kikasha zeeerrro
Zip. Zilch. Sufuri. Nada. \ \"Nyote mmebanana!
Mazungumzo mapya
Fungua Kamera
Kipe kikasha chako kitu cha kujivunia. Anza kwa kumtumia ujumbe rafiki.
Seti upya kikao salama
Washa
Zima arifa
Ongeza kiambatisho
Hariri kikundi
Ondoka kwenye kikundi
Media zote
Mipangilio ya mazungumzo
Ongeza kwenye skrini ya nyumbani
Panua kidukizo
Ongeza kwa wawasiliani
Orodha ya wapokeaji
Uwasilishaji
Mazungumzo
Tangaza
Kundi jipya
Mipangilio
Funga
Alamisha zote zilimesomwa
Alika marafiki
Msaada
Nakili kwenye clipbodi
Linganisha na clipbodi
Toleo lako la Signal limepitwa na wakati
- Toleo lako la Signal linaisha baada ya siku %d. Donoa ili usasishe hadi toleo la hivi punde zaidi.
- Toleo lako la Signal linaisha muda siku %d. Donoa ili kusasisha hadi kwenye toleo la hivi punde zaidi.
Toleo lako la Signal litaisha muda leo. Gonga ili usasishe kwa toleo la hivi karibuni.
Toleo lako la Signal limepitwa na wakati.
Jumbe hazitatuma tena kwa mafanikio. Gonga ili usasishe kwa toleo la hivi karibuni.
Tumia kama chaguo msingi programu ya meseji
Gonga ili kuifanya Signal programu chaguo msingi ya SMS.
Ingiza SMS ya mfumo
Gonga ili kunakili jumbe za SMS za simu yako kwenye hifadhidata iliyosimbwa.
Wezesha jumbe na simu za Signal
Boresha uzoefu wako wa mawasiliano
Alika kwa Signal
Peleka mazungumzo pamoja %1$s kwenye ngazi inayofuata
Alika marafiki zako
Marafiki zaidi wanapotumia Signal, Inaimarika zaidi
Signal inakabiliwa na matatizo ya kiufundi. Tunajitahidi kurejesha huduma haraka iwezekanavyo.
Vipengele vya hivi punde zaidi vya Signal havitafanya kwenye toleo hili la Android. Tafadhali boresha kifaa hiki ili upate sasisho zijazo za Signal.
%1$d%%
Hifadhi
Mbele
Media yote
Uhakiki wa Media
Fanyiza upya
Inafuta
Inafuta jumbe za zamani
Jumbe za zamani zimefutwa kwa ufanisi
%
Ufahamu
Ufahamu
Itifaki za Signal moja kwa moja zimelinda %1$d%% ya jumbe zako zilizotumwa kwenye siku %2$d zilizopita. Gumzo kati ya watumizi wa Signal zimesimbwa mwisho hadi mwisho.
Ongezo-hadhi la Signal
Data haitoshi
Asilimia ya Ufahamu wako inahesabiwa kulingana na jumbe zilizotumwa kwa siku %1$dzilizopita ambazo hazijatoweka wala kufutwa.
Anza gumzo
Anza kuwasiliana kwa usalama na uwezeshe vipengele vipya ambavyo vinazidi matarajio ya ujumbe mfupi usiosimbwa kwa kualika wawasiliani zaidi kujiunga na Signal.
Takwimu hizi zimetolewa ndani ya kifaa chako na zinaonekana na wewe pekee. Kamwe hazisambazwi kokote.
Jumbe zilizosimbwa
Ghairi
Tuma
Kuwasilisha Ufahamu
Pata kujua ni jumbe ngapi ulizotuma zilitumwa salama, halafu alika wawasiliani wapya upesi ili kuongeza asilimia yako ya Signal.
Tazama Ufahamu
Alika kwenye Signal
Unaweza kuongeza nambari ya jumbe zilizosimbwa unazotuma kwa %1$d %%
Ongeza hadhi ya Signal yako
Alika %1$s
Tazama Ufahamu
Alika
Ifuatayo
Unda Nenosiri lenye herufi na nambari
Unda Nenosiri lenye nambari
- PINI lazima iwe na angalau alama %1$d
- Nenosiri lazima liwe na angalau vibambo %1$d
- PINI lazima iwe na angalau herufi %1$d
- Nenosiro lazima liwe na angalau nambari %1$d
Unda Nenosiri jipya
- Unaweza kuchagua PINI mpya kwa sababu kifaa hiki kimesajiliwa. Kama utasahau PINI yako, unaweza kungoja baada ya siku %1$d ili kusajili upya tena.
- Unaweza kuchagua Nenosiri jipya kwa sababu kifaa hiki kimesajiliwa. Iwapo utasahau Nenosiri lako, utahitajika kusubiri%1$d ili kusajili upya tena.
Unda Nenosiri lako
Nenosiri hazifanani. Jaribu tena.
Thibitisha Nenosiri lako.
Uundaji Nenosiri umefeli
Nenosiri lako halikuhifadhiwa. Tutakuarifu baadaye uliunde tena
Nenosiri limeundwa
Ingiza tena Nenosiri
Inaunda Nenosiri…
Uanzishaji Nenosiri
Nenosiri huongeza safu zaidi ya usalama kwenye akaunti yako. Unda moja sasa.
Jifunze Zaidi
https://support.signal.org/hc/en-us/articles/360007059792-Registration-Lock
Kufuli ya Usajili = Nenosiri
Kifunga usajili wako sasa kinaitwa Nenosiri, na kinafanya mengi zaidi. Kisasishe sasa.
Soma zaidi kuhusu Nenosiri
Sasisha Nenosiri
Unda Nenosiri lako
Ingiza Nenosiri lako ya Signal
Ili kukusaidia kukariri Nenosiri lako, tutakuuliza uliingize mara kwa mara. Tunapunguza kukuuliza baada ya muda.
Ruka
Wasilisha
Umesahau Nenosiri?
Nenosiri sio sahihi. Jaribu tena.
Akaunti imefungwa
Akaunti yako imefungwa ili kulinda faragha yako na usalama wako. Baada ya siku %1$d bila shughuli kwenye akaunti yako utaweza kusajili upya nambari hii ya simu bila kuhitaji Nenosiri lako. Yote yaliyomo yatafutwa.
Ifuatayo
Jifunze Zaidi
https://support.signal.org/hc/en-us/articles/360007059792-Registration-Lock
Ingiza Nenosiri lako
Ingiza Nenosiri ulilobuni kwa hii akaunti. Hii ni tofauti na nambari za kuthibitisha kupitia Ujumbe mfupi.
Ingiza Nenosiri la herufi na nambari
Ingiza Nenosiri lenye nambari
Ifuatayo
Nenosiri sio sahihi. Jaribu tena.
Umesahau Nenosiri?
Nenosiri sio sahihi
Umesahau Nenosiri lako?
Sio majaribio mengi yaliyosalia!
- Kwa ajili ya faragha yako na usalama wako, hamna njia yoyote ya kuokoa PINI yako. Kama hukumbuki PINI yako, unaweza kuhakikisha kupitia Ujumbe Mfupi baada ya siku %1$d ya kimya. Katika kesi hii, akaunti yako itafutwa na yote yaliyomo kufutwa.
- Kwa faragha yako na usalama wako, hamna njia yoyote ya kupata tena Nenosiri lako. Iwapo hukumbuki Nenosiri, unaweza kuhakikisha kupitia Ujumbe Mfupi baada ya siku %1$d bila shughuli. Kwenye tukio kama hili, akaunti yako itafutwa na yote yaliyomo kufutwa.
- PINI si sahihi. Jaribio %1$d limebaki.
- Nenosiri sio sahihi. Majaribio %1$d yamesalia
- Kama majaribio yako yataisha akaunti yako itafungwa kwa siku %1$d. Baada ya siku %1$d ya kimya, unaweza kusajili upya bila PINI yako. Akaunti yako itafutwa na yote yaliyomo kufutwa.
- Iwapo majaribio yako yataisha akaunti yako itafungwa kwa siku %1$d. Baada ya siku %1$d bila shuguli, unaweza kusajili upya bila Nenosiri lako. Akaunti yako itafutwa na yote yaliyomo kufutwa.
- Una jaribio %1$d lililobakia.
- Una majaribio %1$d yaliyosalia
- Jaribio %1$d lililobakia.
- Majaribio %1$d yamesalia
Unda Nenosiri
Nenosiri huongeza safu nyingine ya usalama kwenye akaunti yako ya Signal.
Unda Nenosiri
Kuanzisha Nenosiri
Kifunga usajili wako sasa kinaitwa Nenosiri. Kukisasisha kunachukua sekunde
Sasisha Nenosiri
Tutakukumbusha baadaye. Kuunda Nenosiri kutakuwa lazima baada ya siku %1$d.
Tutakukumbusha baadaye. Kuthibitisha Nenosiri lako kutakuwa ni lazima baada ya siku %1$d.
Ikoni ya usafiri
Inafunguka
Inaunganisha
Idhini inahitajika
Signal inahitaji idhini ya SMS ili kutuma SMS, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\" na uwezeshe \"SMS\".
Endelea
Sio sasa
Signal inahitaji ruhusa ya wawasiliani ili kutafuta wawasiliani wako, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe\" \"Mawasiliano\".
WEZESHA JUMBE ZA SIGNAL
Inahamisha hifadhidata ya Signal
Ujumbe mpya uliofungwa
Fungua ili uone jumbe zinazosubiri
Fungua kukamilisha sasisho
Tafadhali fungua ili kukamilisha sasisho ya Signal
Hifadhi Nenosiri
Nakili zitahifadhiwa kwenye hifadhi ya nje na kusimbwa na nenosiri lililopo hapo chini. Lazima uwe na Nenosiri hili ili kurejesha nakalahifadhi.
Nimeandika Nenosiri hili. Bila yalo, nishindwa kurejesha nakalahifadhi.
rejesha upya nakalahifadhi
Ruka
Sajili
Nakalahifadhi ya Gumzo
Nakili Gumzo kwa hifadhi ya nje
Unda nakalahifadhi
Hakikisha kifungu maneno cha nakilihifadhi
Jaribu kifungu maneno chako cha nakilihifadhi na uhakikishe kinalingana
ingiza nenosiri la nakalahifadhi
Rejesha
Haiwezi kuingiza nakalahifadhi kutoka kwa matoleo mapya ya Signal
Nenosiri la nakalahifadhi sio sahihi
Inaangalia
1%d Jumbe hadi sasa
Rejesha kutoka nakalahifadhi?
Rejesha jumbe zako na media kutoka nakalahifadhi ya ndani. Ikiwa hutarejesha sasa, hutaweza kurejesha baadaye.
ukubwa wa nakalahifadhi: 1%s
Muda wa nakalahifadhi: 1%s
Wezesha nakalahifadhi ya ndani?
Wezesha nakalahifadhi
Tafadhali kiri ufahamu wako kwa kuweka alama kwenye kisanduku tiki cha uthibitisho.
Futa nakalahifadhi
Lemaza na futa nakalahifadhi zote za ndani?
Futa nakalahifadhi
Imenakiliwa kwenye bodi ya kunakili
Ingiza kifungu maneno chako cha nakilihifadhi ili kuhakikisha
Hakikisha
Umefaulu kuweka kifungu maneno chako cha nakilihifadhi
Kifungu maneno hakikuwa sahihi
Signal inahitaji idhini ya hifadhi ya nje ili kuunda nakalahifadhi, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\" na uwezeshe \"Hifadhi\".
Nakalahifadhi ya mwisho: 1%s
Inaendelea
Inaunda nakalahifadhi
1%d Jumbe hadi sasa
Tafadhali ingiza msimbo wa uthibitishaji uliotumwa kwa 1%s
Nambari sio sahihi
Nipigie badala yake. \n (Inapatikana kwenye %1$02d : %2$02d)
Wasiliana na Msaada wa Signal
Usajili wa Signal: Msimbo wa Hakiki wa Android
Mada: Usajili wa Signal- Msimbo wa Hakiki wa Android \n Habari ya Kifaa: %1$s \n Toleo la Android: %2$s \n Toleo wa Signal: %3$s \nLocale: %4$s
Kamwe
Isiyojulikana
Kifunga skrini
Funga ufikiaji wa Signal na ufungaji wa Android au alama za vidole
Muda wa kuisha Screen Lock isipokuwa na shughuli
Nenosiri la Signal
Nenosiri
Badilisha
Unda
Hakuna
Nambari ya PIN ya Usajili si sawa na msimbo wa uthibitisho wa SMS unayopokea tu. Tafadhali ingiza PIN uliyoiweka hapo awali katika programu.
Nenosiri la usajili
Umesahau Nenosiri?
PIN inaweza kuwa na tarakimu nne au zaidi. Ukiisahau PIN yako, unaweza kufungiwa nje ya akaunti yako hadi siku saba.
Ingiza Nenosiri
Thibitisha PIN
Ingiza PIN Lock yako ya Usajili
Ingiza Nenosiri
Wezesha usajili wa PIN Lock ambayo itahitajika kuandikisha nambari hii ya simu na Signal tena.
Lock PIN ya usajili
Lock ya usajili
Ni lazima uingize Lock PIN yako ya usajili
Nenosiri lako lina angalau nambari au vibambo %d
Lock PIN ya usajili sio sahihi
Majaribio mengi mno
Umefanya majaribio mengi ya PIN ya Usajili yasio sahihi. Tafadhali jaribu tena baada ya siku.
Hitilafu kujiunga kwa huduma
Oo Hapana
Usajili wa nambari hii ya simu utawezekana bila Nenosiri lako la Usajili baada ya siku 7 tangu nambari hii ya simu ilipokuwa hai kwenye Signal. Una siku%d zilizobaki.
Nambari siri ya usajili
Nambari hii ya simu ina Lock ya Usajili iliyowezeshwa. Tafadhali ingiza Nenosiri la Usajili
Lock ya Usajili imewezeshwa kwa nambari yako ya simu. Ili kukusaidia kukariri Nenosiri lako la usajili, Signal itakuuliza mara kwa mara ili ulithibitishe.
Nilisahau nenosiri
Umesahau nenosiri?
Usajili Lock husaidia kulinda nambari yako ya simu kutokana na majaribio ya usajili yasiyoidhinishwa. Kipengele hiki kinaweza kulemazwa wakati wowote kwenye mipangilio ya faragha yako ya Signal
Usajili wa kufunga
Wezesha
Nambari ya siri ya Usajili lazima iwe na angalau nambari%d.
Nambari mbili za siri ulizoingiza haziendani.
Hitilafu ya kuunganisha na huduma.
Lemaza nambari ya siri ya usajili
Lemaza
Nambari Ya Siri sio Sahihi
Una majaribio %d yaliyobakia
Nakala zilizohifadhiwa
Signal Imefungwa
Gusa kufungua
Kikumbusho
Kuhusu
Isiyojulikana
Kubali
Futa
Zuia
Je, unataka kupokea ujumbe kutoka kwa %1$s?
Mwanachama wa %1$s
Mwanachama wa %1$s na %2$s
Mwanachama wa %1$s, %2$s, na %3$s
Wanachama %1$d
- Mwingine %d
- Wengine %d