<stringname="ApplicationPreferencesActivity_this_will_permanently_unlock_signal_and_message_notifications">Hii itafungua kabisa Signal na arifu za ujumbe</string>
<stringname="ApplicationPreferencesActivity_unregistering_from_signal_messages_and_calls">Usajili unaghairiwa kutoka jumbe za Signal na simu</string>
<stringname="ApplicationPreferencesActivity_disable_signal_messages_and_calls">Lemaza jumbe za Signal na simu?</string>
<stringname="ApplicationPreferencesActivity_disable_signal_messages_and_calls_by_unregistering">Lemaza jumbe na simu za Signal kwa kutosajili kutoka kwenye seva. Utatakiwa kusajili tena numberi yako ya simu ili uzitumie tena baadae.</string>
<stringname="ApplicationPreferencesActivity_error_connecting_to_server">Hitilafu kuunganisha kwa mtambo.</string>
<stringname="AttachmentManager_cant_open_media_selection">Haiwezi kupata programu ya kuchagua media</string>
<stringname="AttachmentManager_signal_requires_the_external_storage_permission_in_order_to_attach_photos_videos_or_audio">Signal inahitaji idhini ya Hifadhi ili kuunganisha picha, video, au sauti, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye orodha ya mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezesha \"Hifadhi\".</string>
<stringname="AttachmentManager_signal_requires_contacts_permission_in_order_to_attach_contact_information">Signal inahitaji idhini ya Mawasiliano ili kuunganisha maelezo ya mawasiliano, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye orodha ya mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Mawasiliano\".</string>
<stringname="AttachmentManager_signal_requires_location_information_in_order_to_attach_a_location">Signal inahitaji ruhusa ya Eneo ili kuunganisha mahali, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye orodha ya mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Eneo\".</string>
<stringname="AttachmentManager_signal_requires_the_camera_permission_in_order_to_take_photos_but_it_has_been_permanently_denied">Signal inahitaji ruhusa ya Kamera ili kuchukua picha, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye orodha ya mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kamera\".</string>
<stringname="ConfirmIdentityDialog_your_safety_number_with_s_has_changed">Nambari yako ya usalama ya 1 %1$s imebadilika. Hii inamaanisha kuwa aidha kuna mtu anajaribu kuingilia mawasiliano yako, ama tu 2 %2$s amesimiza upya Signal.</string>
<stringname="ConfirmIdentityDialog_you_may_wish_to_verify_your_safety_number_with_this_contact">Ungependa kuthibitisha nambari yako ya usalama na anwani hii.</string>
<stringname="ConversationItem_click_to_approve_unencrypted">Imefeli kutuma, gusa kwa isiyo salama ili kurejea nyuma</string>
<stringname="ConversationItem_click_to_approve_unencrypted_sms_dialog_title">Rudi nyuma kwa ujumbe usio na msimbo fiche?</string>
<stringname="ConversationItem_click_to_approve_unencrypted_mms_dialog_title">Rudi nyuma kwa ujumbe usio na msimbo fiche?</string>
<stringname="ConversationItem_click_to_approve_unencrypted_dialog_message">Huu ujumbe hau <b>ta</b> kuwa na msimbo fiche kwa sababu mpokeaji hatumii tena Signal.\n\n Tuma ujumbe usio salama?</string>
<stringname="ConversationActivity_reset_secure_session_question">Seti upya kipindi salama?</string>
<stringname="ConversationActivity_this_may_help_if_youre_having_encryption_problems">Hii inaweza kusaidia kama una matatizo ya usimbuaji fiche kwenye gumzo hili. Jumbe zako zitahifadhiwa.</string>
<stringname="ConversationActivity_sorry_there_was_an_error_setting_your_attachment">Samahani, hitilafi ilitokea kwenye kuweka kiambatanisho chako.</string>
<stringname="ConversationActivity_recipient_is_not_a_valid_sms_or_email_address_exclamation">Mpokeaji sio anwani sahihi ya Ujumbe au barua pepe!</string>
<stringname="ConversationActivity_unblock_this_contact_question">Ondoa kizuizi kwa mawasiliano haya?</string>
<stringname="ConversationActivity_unblock_this_group_question">Ondoa kizuizi kwa kundi hili?</string>
<stringname="ConversationActivity_you_will_once_again_be_able_to_receive_messages_and_calls_from_this_contact">Utaweza kupata tena jumbe na simu kutoka kwa anwani hii.</string>
<stringname="ConversationActivity_unblock_this_group_description">Wanachama waliopo wataweza kukurudisha kwenye kundi tena</string>
<stringname="ConversationActivity_there_is_no_app_available_to_handle_this_link_on_your_device">Hakuna programu ya kuweza kushughulikia kiungo hiki kwenye kifaa chako</string>
<stringname="ConversationActivity_to_send_audio_messages_allow_signal_access_to_your_microphone">Kutuma jumbe za sauti, ruhusu ufikiaji wa Signal kwenye kipaza sauti chako.</string>
<stringname="ConversationActivity_signal_requires_the_microphone_permission_in_order_to_send_audio_messages">Signal inahitaji idhini ya Kipaza sauti ili kutuma ujumbe wa sauti, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kipaza sauti\".</string>
<stringname="ConversationActivity_to_call_s_signal_needs_access_to_your_microphone_and_camera">Kupiga %s, Signal inahitaji ufikikiaji kwa kipaza sauti chako na kamera.</string>
<stringname="ConversationActivity_signal_needs_the_microphone_and_camera_permissions_in_order_to_call_s">Signal inahitaji ruhusa ya Kipaza sauti na Kamera ili kupiga%s , lakini zimekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kipaza sauti\" na \"Kamera\".</string>
<stringname="ConversationActivity_to_capture_photos_and_video_allow_signal_access_to_the_camera">Ili kupiga picha na video, ruhusu ufikiaji wa Signal kwa kamera.</string>
<stringname="ConversationActivity_signal_needs_the_camera_permission_to_take_photos_or_video">Signal inahitaji kibali cha Kamera kuchukua picha au video, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kamera\".</string>
<stringname="ConversationActivity_signal_needs_camera_permissions_to_take_photos_or_video">Signal inahitaji ruhusa ya kamera kuchukua picha na video</string>
<stringname="ConversationActivity_enable_the_microphone_permission_to_capture_videos_with_sound">Wezesha ruhusa ya kipaza sauti kiweze kunasa video za sauti.</string>
<stringname="ConversationActivity_signal_needs_the_recording_permissions_to_capture_video">Signal inahitaji ruhusa za kipaza sauti kurekodi video, lakini imekataliwa. Tafadhali enda kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kipaza Sauti\" na \"Kamera\".</string>
<stringname="ConversationActivity_signal_needs_recording_permissions_to_capture_video">Signal inahitaji ruhusa za kipaza sauti ili kurekodi video.</string>
<stringname="ConversationActivity_signal_cannot_sent_sms_mms_messages_because_it_is_not_your_default_sms_app">Signal haiwezi kutuma jumbe za SMS au MMS kwa sababu sio programu chaguo-msingi ya SMS. Unataka kubadilisha mipangilio ya Android?</string>
<stringname="ConversationFragment_you_can_swipe_to_the_right_reply">Unaweza kusongeza kidole kwa upande wa kulia kwa ujumbe wowote ili kujibu haraka</string>
<stringname="ConversationFragment_you_can_swipe_to_the_left_reply">Unaweza kusongeza kidole kwa upande wa kushoto kwa ujumbe wowote ili kujibu haraka</string>
<stringname="ConversationFragment_outgoing_view_once_media_files_are_automatically_removed">Faili zako za mtazamo mmoja zinazotumwa zinaondolewa punde tu zinapotumwa</string>
<stringname="CreateProfileActivity_signal_profiles_are_end_to_end_encrypted">Wasifu za Signal ni za usimbuaji fiche mwisho hadi mwisho, na seva ya huduma ya Signal kamwe haiwezi kufikia habari hizi.</string>
<stringname="DeviceListActivity_by_unlinking_this_device_it_will_no_longer_be_able_to_send_or_receive">Kwa kutengua uunganishwaji wa kifaa hiki, hakitaweza tena kutuma au kupokea ujumbe.</string>
<stringname="DozeReminder_optimize_for_missing_play_services">Panga kwa Huduma za Play sizizopo.</string>
<stringname="DozeReminder_this_device_does_not_support_play_services_tap_to_disable_system_battery">Kifaa hiki hakiwezeshi Huduma za Play. Gonga ili kulemaza na kuboresha mfumo wa betri unaozuia Signal kupokea ujumbe wakati haupo kwenye matumizi.</string>
<stringname="ExperienceUpgradeActivity_textsecure_is_now_called_signal">TextSecure na RedPhone sasa ni mjumbe mmoja binafsi, kwa kila hali: Signal.</string>
<stringname="ExperienceUpgradeActivity_textsecure_is_now_signal">TextSecure sasa ni Signal.</string>
<stringname="ExperienceUpgradeActivity_textsecure_is_now_signal_long">TextSecure na RedPhone sasa ni programu moja: Signal. Gonga ili kugundua.</string>
<stringname="ExperienceUpgradeActivity_say_hello_to_video_calls">Sema habari kwenye simu salama ya video</string>
<stringname="ExperienceUpgradeActivity_signal_now_supports_secure_video_calls">Signal sasa inawezesha kupiga ya video kwa njia salama. Anza tu simu ya Signal kama ya kawaida, gonga kitufe cha video, na punga habari.</string>
<stringname="ExperienceUpgradeActivity_signal_now_supports_secure_video_calling">Signal sasa inawezesha usalama wa simu za video</string>
<stringname="ExperienceUpgradeActivity_signal_now_supports_secure_video_calling_long">Signal sasa inawezesha usalama wa simu za video. Gusa kugundua </string>
<stringname="ExperienceUpgradeActivity_ready_for_your_closeup">Tayari kwa picha ya karibu?</string>
<stringname="ExperienceUpgradeActivity_now_you_can_share_a_profile_photo_and_name_with_friends_on_signal">Sasa unaweza kushiriki wasifu wa picha na jina kwa rafiki zako walioko Signal</string>
<stringname="ExperienceUpgradeActivity_introducing_typing_indicators">Kutambulisha viashiria vya kucharaza.</string>
<stringname="ExperienceUpgradeActivity_now_you_can_optionally_see_and_share_when_messages_are_being_typed">Sasa unaweza kuchagua hiari na kushiriki wakati ujumbe unapocharazwa</string>
<stringname="ExperienceUpgradeActivity_optional_link_previews_are_now_supported">Kiungo cha hakiki za hiari sasa kinategemezwa na baadhi ya tovuti maarufu mtandaoni.</string>
<stringname="ExperienceUpgradeActivity_you_can_disable_or_enable_this_feature_link_previews">Unaweza kulemaza ama kuwezesha kipengele hiki wakati wowote kwenye mipangilio yako ya Signal (Faragha > Tuma hakiki za kiungo).</string>
<stringname="GcmRefreshJob_Permanent_Signal_communication_failure">Muda wote mawasiliano ya Signal yanafeli!</string>
<stringname="GcmRefreshJob_Signal_was_unable_to_register_with_Google_Play_Services">Signal haikuweza kujisajili na Huduma za Google Play. Ujumbe wa Signal na simu zimezimwa, tafadhali jaribu kujiandikisha katika Mipangilio > Zaidi.</string>
<stringname="GroupCreateActivity_contacts_dont_support_push">Umechagua mwasiliani asiyetumia vikundi vya Signal, kwayo kikundi hiki kitakuwa MMS.</string>
<stringname="GroupCreateActivity_youre_not_registered_for_signal">Huna usajili kwa ujumbe wa Signal na simu, hivyo vikundi vya Signal vimelemazwa. Tafadhali jaribu kujiandikisha katika Mipangilio & gt; Zaidi.</string>
<stringname="GroupCreateActivity_contacts_no_members">Unahitaji angalau mtu mmoja kwenye kundi lako!</string>
<stringname="GroupCreateActivity_contacts_invalid_number">Mmoja wa wanachama wa kikundi chako ana namba ambayo haiwezi kusomeka kwa usahihi. Tafadhali rekebisha au uondoe mwasiliani na ujaribu tena.</string>
<stringname="GroupCreateActivity_avatar_content_description">Kundi la avatar</string>
<stringname="GroupShareProfileView_share_your_profile_name_and_photo_with_this_group">Shiriki jina la wasifu wako katika kikundi hiki</string>
<stringname="GroupShareProfileView_do_you_want_to_make_your_profile_name_and_photo_visible_to_all_current_and_future_members_of_this_group">Unataka kufanya jina lako la wasifu na picha vionekane kwa wanachama wote wa sasa na wa baadaye wa kikundi hiki?</string>
<stringname="InputPanel_tap_and_hold_to_record_a_voice_message_release_to_send">Gonga na shikilia kurekodi ujumbe wa sauti, wachilia kitufe kutuma</string>
<stringname="MediaSendActivity_an_item_was_removed_because_it_exceeded_the_size_limit">Kipengee kimetolewa kwa sababu kimezidi ukubwa unaokubalika</string>
<stringname="MediaSendActivity_signal_needs_contacts_permission_in_order_to_show_your_contacts_but_it_has_been_permanently_denied">Signal inahitaji ruhusa za Wawasiliani wako ili kuonyesha wawasiliani wako, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali enda kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Wawasiliani\".</string>
<stringname="MediaSendActivity_tap_here_to_make_this_message_disappear_after_it_is_viewed">Gusa hapa ili kufanya ujumbe huu kutoweka baada ya kusomwa.</string>
<stringname="MessageRecord_message_encrypted_with_a_legacy_protocol_version_that_is_no_longer_supported">Umepokea ujumbe uliosimbwa kutumia toleo la zamani la Signal ambalo halitumiki tena. Tafadhali muombe mtumaji kusasisha hadi toleo la hivi karibuni na kutuma tena ujumbe.</string>
<stringname="MessageRecord_your_safety_number_with_s_has_changed">Nambari yako ya usalama pamoja na 1%s imebadilika</string>
<stringname="MessageRecord_you_marked_your_safety_number_with_s_verified">Umenakili nambari yako ya usalama pamoja na %s imethibitishwa</string>
<stringname="MessageRecord_you_marked_your_safety_number_with_s_verified_from_another_device">Umeweka alama kwa nambari yako ya usalama na %s kuwa imehakikishwa kutoka kwa kifaa kingine.</string>
<stringname="MessageRecord_you_marked_your_safety_number_with_s_unverified">Umeweka alama kwenye nambari yako ya usalama na %s kuwa haijahakikishwa</string>
<stringname="MessageRecord_you_marked_your_safety_number_with_s_unverified_from_another_device">Umeweka alama kwenye nambari yako ya usalama na %s kuwa haijahakikishwa kutoka kwa kifaa kingine</string>
<stringname="DeviceProvisioningActivity_it_looks_like_youre_trying_to_link_a_signal_device_using_a_3rd_party_scanner">Inaonekana unajaribu kuunganisha kifaa cha Signal kwa kutumia skana ya mhusika wa 3. Kwa usalama wako, tafadhali skani msimbo tena kutoka ndani ya Signal.</string>
Signal inahitaji ruhusa ya Kamera ili kuskani msimbo wa QR, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kamera\".</string>
<stringname="DeviceActivity_unable_to_scan_a_qr_code_without_the_camera_permission">Imeshindwa kuskani msimbo wa QR bila ruhusa ya Kamera</string>
<stringname="ExpirationDialog_your_messages_will_disappear_s_after_they_have_been_seen">Ujumbe utakaotumwa na kupokewa kwenye gumzo hili utatoweka %s baada ya kuonekana.</string>
<stringname="PlayServicesProblemFragment_the_version_of_google_play_services_you_have_installed_is_not_functioning">Toleo la Huduma za Google Play ulilosakinisha halifanyi kazi vizuri. Tafadhali sakinisha tena Huduma za Google Play na ujaribu tena.</string>
<stringname="RatingManager_if_you_enjoy_using_this_app_please_take_a_moment">Iwapo unapendezwa na programu hii, tafadhali chukua muda utusaidie kuitathmini.</string>
<stringname="RatingManager_whoops_the_play_store_app_does_not_appear_to_be_installed">Duh, programu ya Play Store inaonekana haijasakinishwa kwenye kifaa chako.</string>
<stringname="RecipientPreferenceActivity_you_will_no_longer_receive_messages_and_calls_from_this_contact">Hautapokea tena ujumbe na simu kutoka kwa mwasiliani huyu</string>
<stringname="RecipientPreferenceActivity_unblock_this_contact_question">Ondoa kizuizi kwa mwasiliani huyu?</string>
<stringname="RecipientPreferenceActivity_you_will_once_again_be_able_to_receive_messages_and_calls_from_this_contact">Utaweza tena kupokea jumbe na simu kutoka kwa mwasiliani huyu</string>
<stringname="RecipientPreferenceActivity_unblock_this_group_question">Ondoa kizuizi kwa kundi</string>
<stringname="RecipientPreferenceActivity_available_once_a_message_has_been_sent_or_received">inapatikana mara tu ujumbe utakapokuwa umetumwa au kupokelewa.</string>
<stringname="RegistrationActivity_missing_google_play_services">Huduma za Google Play zinakosekana</string>
<stringname="RegistrationActivity_this_device_is_missing_google_play_services">Kifaa hiki kimekosa huduma za Google Play. Bado unaweza kutumia Signal, lakini usanidi huu unaweza kusababisha upungufu wa kutegemewa au utendaji. \ n\n \ Kama wewe si mtumiaji wa juu, hautumii Android ROM, au unaamini kwamba unaona hili kimakosa, tafadhali wasiliana na support@signal.org kwa usaidizi wa matatizo.</string>
<stringname="RegistrationActivity_play_services_error">Hitilafu katika huduma za Play</string>
<stringname="RegistrationActivity_google_play_services_is_updating_or_unavailable">Huduma za Google Play zinasasisha au hazipatikani kwa muda. Tafadhali jaribu tena.</string>
<stringname="RegistrationActivity_terms_and_privacy">Vigezo &amp: Sera ya Faragha</string>
<stringname="RegistrationActivity_signal_needs_access_to_your_contacts_and_media_in_order_to_connect_with_friends">Signal inahitaji kupata wawasiliani wako ama Media ili kukuunganisha na marafiki, kubadilishana jumbe, na kupiga simu kisalama</string>
<stringname="RegistrationActivity_unable_to_connect_to_service">Imeshindwa kuunganisha kwenye huduma. Tafadhali angalia muunganisho wako wa mtandao na ujaribu tena.</string>
<stringname="RegistrationActivity_to_easily_verify_your_phone_number_signal_can_automatically_detect_your_verification_code">Ili kuthibitisha nambari yako ya simu kwa urahisi, Signal inaweza kugundua moja kwa moja msimbo wako wa kuthibitisha kama utakubali Signal itazame jumbe fupi.</string>
<stringname="RegistrationActivity_continue_last_attempt">Endelea (jaribio la mwisho!)</string>
<stringname="RegistrationActivity_take_privacy_with_you_be_yourself_in_every_message">Enda na faragha.\n Kuwa wewe katika kila ujumbe</string>
<stringname="RegistrationActivity_enter_your_phone_number_to_get_started">Ingiza nambari yako ya simu kuanza</string>
<stringname="RegistrationActivity_you_will_receive_a_verification_code">Utapokea msimbo wa kuthibitisha. Gharama za mtoa huduma ya mawasiliano yako zitatumika.</string>
<stringname="RegistrationActivity_enter_the_code_we_sent_to_s">Ingiza msimbo tuliotuma kwa %s</string>
<stringname="RegistrationActivity_phone_number_description">Nambari ya simu</string>
<stringname="RegistrationActivity_country_code_description">Nambari ya nchi</string>
<stringname="SmsMessageRecord_received_key_exchange_message_for_invalid_protocol_version">Umepokea ufunguo wa kubadilishana ujumbe wa itifiki isiyo sahihi.</string>
<stringname="SmsMessageRecord_received_message_with_new_safety_number_tap_to_process">Ujumbe uliopokelewa pamoja na nambari mpya ya usalama. Gusa kuchakata na kuonyesha.</string>
<stringname="SmsMessageRecord_secure_session_reset">Umeseti upya kipindi salama</string>
<stringname="SmsMessageRecord_secure_session_reset_s">%s Seti tena kipindi salama</string>
<stringname="SmsMessageRecord_this_message_could_not_be_processed_because_it_was_sent_from_a_newer_version">Huu ujumbe haukuchakatishwa kwa sababu umetumwa kutoka kwa toleo jipya la Signal. Unaweza kuomba mwasiliani wako akutumie ujumbe huu tena baada ya wewe kusasisha.</string>
<stringname="StickerManagementAdapter_stickers_from_incoming_messages_will_appear_here">Vibandiko kutoka kwa jumbe zinazoingia zitaonekana hapa</string>
<stringname="UnknownSenderView_the_easiest_way_to_share_your_profile_information_is_to_add_the_sender_to_your_contacts">Njia rahisi ya kushirikisha taarifa za wasifu wako ni kuongeza mtumaji kwenye anwani zako. Kama usingependa, bado unaweza kushirikisha taarifa za wasifu wako kwa njia hii. </string>
<stringname="UsernameEditFragment_successfully_set_username">Jina la mtumiaji limefanikiwa kuwekwa.</string>
<stringname="UsernameEditFragment_successfully_removed_username">Jina la mtumiaji limefanikiwa kuondolewa.</string>
<stringname="UsernameEditFragment_encountered_a_network_error">Imekumbana na hitilafu ya mtandao.</string>
<stringname="UsernameEditFragment_this_username_is_taken">Jina hili la mtumiaji limechukuliwa.</string>
<stringname="UsernameEditFragment_this_username_is_available">Jina hili la mtimiaji linapatikana.</string>
<stringname="UsernameEditFragment_usernames_can_only_include">Majina ya watumiaji yanaweza kujumuisha tu a-Z, 0-9, na alama za underscore.</string>
<stringname="UsernameEditFragment_usernames_cannot_begin_with_a_number">Majina ya watumiaji hayawezi kuanza kwa nambari.</string>
<stringname="UsernameEditFragment_username_is_invalid">Jina la mtumiaji si halali.</string>
<stringname="UsernameEditFragment_usernames_must_be_between_a_and_b_characters">Majina ya watumiaji lazima yawe kati ya vibambo %1$dna %2$d.</string>
<stringname="UsernameEditFragment_other_signal_users_can_send_message_requests_to_your_unique_username">Watumiaji wengine wa Signal wanaweza kutuma maombi ya ujumbe kwa jina lako la kipekee la mtumiaji bila kujua nambari yako ya simu. Kuchagua jina la mtumiaji ni kwa hiari.</string>
<stringname="VerifyIdentityActivity_your_contact_is_running_an_old_version_of_signal">Mawasiliano yako yanaendesha toleo la zamani la Signal. Tafadhali waombe wasasishe kabla ya kuthibitisha nambari yako ya usalama.</string>
<stringname="VerifyIdentityActivity_your_contact_is_running_a_newer_version_of_Signal">Mawasiliano yako yanaendesha toleo jipya la Signal na muundo wa msimbo wa QR usiopatanisha. Tafadhali sasisha ili upatanishe</string>
<stringname="VerifyIdentityActivity_the_scanned_qr_code_is_not_a_correctly_formatted_safety_number">Scani ya msimbo wa QR sio ya muundo sahihi wa nambari ya msimbo salama wa kuthibitisha. Tafadhali jaribu kuscani tena.</string>
<stringname="VerifyIdentityActivity_no_safety_number_to_compare_was_found_in_the_clipboard">Hamna nambari ya usalama ya kulinganisha iliyopatikana kwenye bodi ya kupogoa</string>
<stringname="VerifyIdentityActivity_signal_needs_the_camera_permission_in_order_to_scan_a_qr_code_but_it_has_been_permanently_denied">Signal inahitaji ruhusa ya Kamera ili kuskani msimbo wa QR, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kamera\".</string>
<stringname="VerifyIdentityActivity_unable_to_scan_qr_code_without_camera_permission">Imeshindwa kuskani msimbo wa QR bila ruhusa ya kamera</string>
<stringname="MediaPreviewActivity_signal_needs_the_storage_permission_in_order_to_write_to_external_storage_but_it_has_been_permanently_denied">Signal inahitaji ruhusa ya Hifadhi ili kuhifadhi kwenye hifadhi ya nje, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Uhifadhi\".</string>
<stringname="MediaPreviewActivity_unable_to_write_to_external_storage_without_permission">Haiwezekani kuhifadhi kwenye hifadhi ya nje bila ruhusa</string>
<stringname="UnauthorizedReminder_this_is_likely_because_you_registered_your_phone_number_with_Signal_on_a_different_device">Hii inawezekana kwa sababu umeandikisha nambari yako ya simu na Signal kwenye kifaa tofauti. Gonga ili kujiandikisha tena.</string>
<stringname="WebRtcCallActivity_to_answer_the_call_from_s_give_signal_access_to_your_microphone">Ili kujibu simu kutoka kwa %s, ruhusu Signal ifikie kipaza sauti chako.</string>
<stringname="WebRtcCallActivity_signal_requires_microphone_and_camera_permissions_in_order_to_make_or_receive_calls">Signal inahitaji ruhusa ya kipaza sauti na Kamera ili kufanya au kupokea simu, lakini zimekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Kipaza sauti\" na \"Kamera\".</string>
<stringname="WebRtcCallScreen_new_safety_numbers">Nambari ya usalama ya gumzo lako na %1$simebadilika. Hili linaweza kumaanisha kuwa aidha kuna mtu anayejaribu kuingilia mawasiliano yenu, ama tu %2$samesakinisha upya Signal.</string>
<stringname="WebRtcCallScreen_you_may_wish_to_verify_this_contact">Unangependa kuhakiki nambari yako ya usalama na anwani hii.</string>
<stringname="WebRtcCallScreen_new_safety_number_title">Nambari mpya ya usalama</string>
<stringname="ContactSelectionListFragment_signal_requires_the_contacts_permission_in_order_to_display_your_contacts">Signal inahitaji idhini ya Wawasiliani ili kuonyesha wawasiliani wako, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye orodha ya mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe \"Wawasiliani\".</string>
<stringname="ContactSelectionListFragment_error_retrieving_contacts_check_your_network_connection">Hitilafu kupata wawasiliani, angalia uunganisho wako wa mtandao</string>
<stringname="ContactSelectionListFragment_username_not_found">Jina la mtumiaji halijapatikana</string>
<stringname="ContactSelectionListFragment_s_is_not_a_signal_user">\"%1$s\" sio mtumiaji wa Signal. Tafadhali angalia jina la mtumiaji na ujaribu tena.</string>
<stringname="contact_selection_list_fragment__signal_needs_access_to_your_contacts_in_order_to_display_them">Signal inahitaji upatikanaji wa wawasiliani yako ili kuonyesha.</string>
<stringname="device_add_fragment__scan_the_qr_code_displayed_on_the_device_to_link">Skani Msimbo wa QR ulioonyeshwa kwenye kifaa ili kuunganisha</string>
<stringname="experience_upgrade_preference_fragment__optionally_see_and_share_when_messages_have_been_read">Hiari kuona na kushiriki wakati jumbe zimeshasomwa</string>
<stringname="IdentityUtil_unverified_banner_one">Nambari yako ya usalama %sna imebadilika na haijathibitishwa tena</string>
<stringname="IdentityUtil_unverified_banner_two">Nambari zako za usalama %1$s na %2$s sasa hazijathibitishwa tena</string>
<stringname="IdentityUtil_unverified_banner_many">Nambari zako za usalama na %1$s, %2$s, na %3$shazijathibitishwa tena. </string>
<stringname="IdentityUtil_unverified_dialog_one">Nambari yako ya usalama na %1$simebadilika na haijathibitishwa tena. Hili linamaanisha kuwa aidha kuna mtu anayejaribu kuingilia mawasiliano yako, ama tu %1$samesakinisha upya Signal.</string>
<stringname="IdentityUtil_unverified_dialog_two">Nambari zako za usalama na %1$s na %2$s hazijathibitishwa tena. Hili linaweza kumaanisha kuwa aidha kuna mtu anayejaribu kuingilia mawasiliano yako, au tu amesakinisha upya Signal.</string>
<stringname="IdentityUtil_unverified_dialog_many">Nambari zako za usalama na %1$s, %2$s, na %3$s hazijahakikishwa. Hili linaweza kumaanisha kuwa aidha kuna mtu anayejaribu kuingilia mawasiliano yenu, au tu wamesimika upya Signal.</string>
<stringname="IdentityUtil_untrusted_dialog_one">Nambari yako ya usalama pamoja na 1%s imebadilika </string>
<stringname="IdentityUtil_untrusted_dialog_two">Nambari zako za usalama na %1$s na %2$szimebadilika.</string>
<stringname="IdentityUtil_untrusted_dialog_many">Nambari zako za usalama na %1$s, %2$s, na %3$s zimebadilika.</string>
<stringname="log_submit_activity__log_fetch_failed">Haikuweza kusoma faili ya kumbukumbu kwenye kifaa chako. Bado unaweza kutumia ADB kupata faili ya kueua badala yake.</string>
<stringname="log_submit_activity__this_log_will_be_posted_online">Faili hii itawekwa hadharani mkondoni ili wachangiaji watazame, unaweza kuikagua na kuihariri kabla ya kuiwasilisha.</string>
<stringname="log_submit_activity__copy_this_url_and_add_it_to_your_issue">Nakili URL na uiongeze kwenye ripoti yako ya suala ama barua pepe-egemezi:\n\n<b>%1$s</b>\n</string>
<stringname="database_migration_activity__would_you_like_to_import_your_existing_text_messages">Je! Ungependa kuingiza jumbe zako za matini zilizopo kwenye hifadhidata salama ya Signal?</string>
<stringname="database_migration_activity__the_default_system_database_will_not_be_modified">Chaguo msingi lako ya mfumo wa hifadhidata halitabadilishwa kwa njia yoyote.</string>
<stringname="database_migration_activity__this_could_take_a_moment_please_be_patient">Hii itachukua muda. Tafadhali kuwa mvumilivu, tutakujulisha wakati uingizaji utakapokamilika.</string>
<stringname="import_fragment__import_system_sms_database">Ingiza mfumo wa ujumbe wa hifadhidata</string>
<stringname="import_fragment__import_the_database_from_the_default_system">Ingiza hifadhidata kutoka kwa mfumo chaguo msingi wa programu ya messenger</string>
<stringname="import_fragment__import_a_plaintext_backup_file">Ingiza nakala ya faili yenye maandishi yasiyosimbwa. Inalingana na \'Nakalahifadhi ya Ujumbe Mfupi na amp; Rudisha upya\'.</string>
<stringname="profile_group_share_view__make_your_profile_name_and_photo_visible_to_this_group">Fanya jina la wasifa wako na picha vionekane kwa kundi hili</string>
<stringname="prompt_mms_activity__signal_requires_mms_settings_to_deliver_media_and_group_messages">Signal inahitaji mipangilio ya MMS ili kuwasilisha ujumbe wa media na wa kikundi kwa njia ya mtoa huduma yako ya wireless. Kifaa chako hakitoi taarifa hizi, ambazo mara kwa mara ni za kweli kwa vifaa vilivyofungwa na usanidi mwingine unaozuia.</string>
<stringname="prompt_mms_activity__to_send_media_and_group_messages_tap_ok">Kutuma ujumbe wa media na vikundi, gonga \'Sawa\' na kamilisha mipangilio iliyoombwa. Mipangilio ya MMS ya mtoa huduma yako inaweza kwa kawaida kupatikana kwa kutafuta \'APN ya mtoa huduma yako\'. Utahitaji tu kufanya hili mara moja.</string>
<stringname="registration_activity__registration_will_transmit_some_contact_information_to_the_server_temporariliy">Signal inarahisisha kuwasiliana kwa kutumia nambari yako ya simu iliyopo na kitabu cha anwani. Marafiki na wawasiliani ambao tayari wanajua jinsi ya kuwasiliana nawe kwa simu wataweza kuwasiliana kwa urahisi na Signal. \ n \ nUsajili unatuma maelezo fulani ya mawasiliano kwenye seva. Hayahifadhiwi.</string>
<stringname="registration_activity__please_enter_your_mobile_number_to_receive_a_verification_code_carrier_rates_may_apply">Tafadhali ingiza nambari yako ya simu ili upokee nambari ya kuthibitisha. Malipo ya mtoa huduma yatazingatiwa</string>
<stringname="verify_display_fragment__if_you_wish_to_verify_the_security_of_your_end_to_end_encryption_with_s"><![CDATA[Iwapo ungependa kuhakiki usalama wa usimbaji wako na %s, linganisha nambari iliyo juu na nambari kwenye kifaa chao. PIa, unaweza kuskani msimbo kwa simu yao, au uwaombe waskani msimbo wako. <a href="https://signal.org/redirect/safety-numbers"> Fahamu zaidi. </a>]]></string>
<stringname="preferences__use_signal_for_viewing_and_storing_all_incoming_text_messages">Tumia Signal kwa ujumbe wote unaoingia</string>
<stringname="preferences__use_signal_for_viewing_and_storing_all_incoming_multimedia_messages">Tumia Signal kwa ujumbe wote unaoingia wa multimedia</string>
<stringname="preferences__enable_passphrase">Wezesha Nenosiri la kufunga skriini</string>
<stringname="preferences__lock_signal_and_message_notifications_with_a_passphrase">Funga skriini na arifa pamoja na Nenosiri</string>
<stringname="preferences__screen_security">usalama wa skrini</string>
<stringname="preferences__disable_screen_security_to_allow_screen_shots">Zuia viwambo vya skrini katika orodha ya rekodi na ndani ya programu</string>
<stringname="preferences__auto_lock_signal_after_a_specified_time_interval_of_inactivity">Funga Signal kiotomatiki baada ya muda fulani usio na utendaji</string>
<stringname="preferences__inactivity_timeout_passphrase">Nenosiri la uishaji muda</string>
<stringname="preferences__inactivity_timeout_interval">Kipindi cha uishaji muda </string>
<stringname="preferences__mmsc_password">Nenosiri la MMSC</string>
<stringname="preferences__sms_delivery_reports">Ripoti ya ujumbe uliowasilishwa</string>
<stringname="preferences__request_a_delivery_report_for_each_sms_message_you_send">Omba ripoti ya uwasilishwaji kwa kila ujumbe wa SMS unayotuma</string>
<stringname="preferences__automatically_delete_older_messages_once_a_conversation_exceeds_a_specified_length">Futa moja kwa moja ujumbe wa zamani mara mazungumzo yanapozidi muda fulani</string>
<stringname="preferences__conversation_length_limit">Upeo wa maongezi</string>
<stringname="preferences__trim_all_conversations_now">Punguza mazungumzo yote sasa</string>
<stringname="preferences__scan_through_all_conversations_and_enforce_conversation_length_limits">Pitia mazungumzo yote na uimarishe upeo wa mazungumzo</string>
<stringname="preferences__free_private_messages_and_calls">Ujumbe wa faragha wa bure na simu kwa watumiaji wa Signal</string>
<stringname="preferences__submit_debug_log">Wasilisha tunzakumbukumbu ya ueuaji</string>
<stringname="preferences__support_wifi_calling">\'\'Simu ya Wi-Fi\' aina ya utangamano</string>
<stringname="preferences__enable_if_your_device_supports_sms_mms_delivery_over_wifi">Wezesha iwapo kifaa chako kinatumia uwasilishaji wa SMS / MMS juu ya WiFi (wezesha tu wakati \"Simu ya WiFi\" imewezeshwa kwenye kifaa chako)</string>
<stringname="preferences__if_read_receipts_are_disabled_you_wont_be_able_to_see_read_receipts">Ikiwa jumbe zilizosomwa zimemalemezwa, hutaweza kuona jumbe zilizosomwa kutoka kwa wengine</string>
<stringname="preferences__typing_indicators">Viashiria vya kucharaza</string>
<stringname="preferences__if_typing_indicators_are_disabled_you_wont_be_able_to_see_typing_indicators">Ikiwa viashiria vya kucharaza vimelemazwa, hutaweza kuona viashiria vya kucharaza kutoka kwa wengine.</string>
<stringname="preferences__request_keyboard_to_disable_personalized_learning">Omba kibaobonye kulemaza kujifunza kwa kibinafsi</string>
<stringname="preferences_advanced__disable_signal_built_in_emoji_support">Lemaza emoji iliyojengwa ndani ya Signal</string>
<stringname="preferences_advanced__relay_all_calls_through_the_signal_server_to_avoid_revealing_your_ip_address">Wasilisha simu zote kupitia Signal seva kuzuia kutambulisha anwani yako ya IP kwa mwasiliani wako. Kuwezesha kutapunguza ubora wa simu</string>
<stringname="preferences_advanced__always_relay_calls">Wasilisha simu kila mara</string>
<stringname="preferences_communication__sealed_sender_display_indicators_description">Onyesha icon ya hali wakati unapochagua \"Maelezo ya Ujumbe\" kwenye jumbe uliotolewa kupitia mtumaji mwenye muhuri.</string>
<stringname="preferences_communication__sealed_sender_allow_from_anyone">Ruhusu kutoka kwa kila mtu</string>
<stringname="preferences_communication__sealed_sender_allow_from_anyone_description">Wezesha mtumaji mwenye muhuri kwa jumbe zinazoingia kutoka kwa wasio wasiliani na watu ambao hukushiriki wasifu wako</string>
<stringname="conversation_list_fragment__give_your_inbox_something_to_write_home_about_get_started_by_messaging_a_friend">Kipe kikasha chako kitu cha kujivunia. Anza kwa kumtumia ujumbe rafiki.</string>
<stringname="reminder_header_outdated_build_details_today">Toleo lako la Signal litaisha muda leo. Gonga ili usasishe kwa toleo la hivi karibuni.</string>
<stringname="reminder_header_service_outage_text">Signal inakabiliwa na matatizo ya kiufundi. Tunajitahidi kurejesha huduma haraka iwezekanavyo.</string>
<stringname="reminder_header_the_latest_signal_features_wont_work">Vipengele vya hivi punde zaidi vya Signal havitafanya kwenye toleo hili la Android. Tafadhali boresha kifaa hiki ili upate sasisho zijazo za Signal.</string>
<stringname="InsightsDashboardFragment__signal_protocol_automatically_protected">Itifaki za Signal moja kwa moja zimelinda %1$d%% ya jumbe zako zilizotumwa kwenye siku %2$d zilizopita. Gumzo kati ya watumizi wa Signal zimesimbwa mwisho hadi mwisho.</string>
<stringname="InsightsDashboardFragment__your_insights_percentage_is_calculated_based_on">Asilimia ya Ufahamu wako inahesabiwa kulingana na jumbe zilizotumwa kwa siku %1$dzilizopita ambazo hazijatoweka wala kufutwa. </string>
<stringname="InsightsDashboardFragment__invite_your_contacts">Anza kuwasiliana kwa usalama na uwezeshe vipengele vipya ambavyo vinazidi matarajio ya ujumbe mfupi usiosimbwa kwa kualika wawasiliani zaidi kujiunga na Signal.</string>
<stringname="InsightsDashboardFragment__this_stat_was_generated_locally">Takwimu hizi zimetolewa ndani ya kifaa chako na zinaonekana na wewe pekee. Kamwe hazisambazwi kokote.</string>
<stringname="InsightsModalFragment__description">Pata kujua ni jumbe ngapi ulizotuma zilitumwa salama, halafu alika wawasiliani wapya upesi ili kuongeza asilimia yako ya Signal.</string>
<stringname="ConversationActivity_signal_needs_sms_permission_in_order_to_send_an_sms">Signal inahitaji idhini ya SMS ili kutuma SMS, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\" na uwezeshe \"SMS\".</string>
<stringname="ConversationListActivity_signal_needs_contacts_permission_in_order_to_search_your_contacts_but_it_has_been_permanently_denied">Signal inahitaji ruhusa ya wawasiliani ili kutafuta wawasiliani wako, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na uwezeshe\" \"Mawasiliano\".</string>
<stringname="conversation_activity__enable_signal_messages">WEZESHA JUMBE ZA SIGNAL</string>
<stringname="SQLCipherMigrationHelper_migrating_signal_database">Inahamisha hifadhidata ya Signal</string>
<stringname="backup_enable_dialog__backups_will_be_saved_to_external_storage_and_encrypted_with_the_passphrase_below_you_must_have_this_passphrase_in_order_to_restore_a_backup">Nakili zitahifadhiwa kwenye hifadhi ya nje na kusimbwa na nenosiri lililopo hapo chini. Lazima uwe na Nenosiri hili ili kurejesha nakalahifadhi.</string>
<stringname="backup_enable_dialog__i_have_written_down_this_passphrase">Nimeandika Nenosiri hili. Bila yalo, nishindwa kurejesha nakalahifadhi.</string>
<stringname="RegistrationActivity_d_messages_so_far">1%d Jumbe hadi sasa</string>
<stringname="RegistrationActivity_restore_from_backup">Rejesha kutoka nakalahifadhi?</string>
<stringname="RegistrationActivity_restore_your_messages_and_media_from_a_local_backup">Rejesha jumbe zako na media kutoka nakalahifadhi ya ndani. Ikiwa hutarejesha sasa, hutaweza kurejesha baadaye.</string>
<stringname="RegistrationActivity_backup_size_s">ukubwa wa nakalahifadhi: 1%s</string>
<stringname="RegistrationActivity_backup_timestamp_s">Muda wa nakalahifadhi: 1%s</string>
<stringname="BackupDialog_enable_local_backups">Wezesha nakalahifadhi ya ndani?</string>
<stringname="BackupDialog_please_acknowledge_your_understanding_by_marking_the_confirmation_check_box">Tafadhali kiri ufahamu wako kwa kuweka alama kwenye kisanduku tiki cha uthibitisho.</string>
<stringname="BackupDialog_copied_to_clipboard">Imenakiliwa kwenye bodi ya kunakili</string>
<stringname="ChatsPreferenceFragment_signal_requires_external_storage_permission_in_order_to_create_backups">Signal inahitaji idhini ya hifadhi ya nje ili kuunda nakalahifadhi, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\" na uwezeshe \"Hifadhi\".</string>
<stringname="ChatsPreferenceFragment_last_backup_s">Nakalahifadhi ya mwisho: 1%s</string>
<stringname="RegistrationActivity_contact_signal_support">Wasiliana na Msaada wa Signal</string>
<stringname="RegistrationActivity_code_support_subject">Usajili wa Signal: Msimbo wa Hakiki wa Android</string>
<stringname="RegistrationActivity_code_support_body">Mada: Usajili wa Signal- Msimbo wa Hakiki wa Android \n Habari ya Kifaa: %1$s \n Toleo la Android: %2$s \n Toleo wa Signal: %3$s \nLocale: %4$s</string>
<stringname="registration_activity__the_registration_lock_pin_is_not_the_same_as_the_sms_verification_code_you_just_received_please_enter_the_pin_you_previously_configured_in_the_application">Nambari ya PIN ya Usajili si sawa na msimbo wa uthibitisho wa SMS unayopokea tu. Tafadhali ingiza PIN uliyoiweka hapo awali katika programu.</string>
<stringname="registration_lock_dialog_view__the_pin_can_consist_of_four_or_more_digits_if_you_forget_your_pin_you_could_be_locked_out_of_your_account_for_up_to_seven_days">PIN inaweza kuwa na tarakimu nne au zaidi. Ukiisahau PIN yako, unaweza kufungiwa nje ya akaunti yako hadi siku saba.</string>
<stringname="preferences_app_protection__enable_a_registration_lock_pin_that_will_be_required">Wezesha usajili wa PIN Lock ambayo itahitajika kuandikisha nambari hii ya simu na Signal tena.</string>
<stringname="preferences_app_protection__registration_lock_pin">Lock PIN ya usajili</string>
<stringname="preferences_app_protection__registration_lock">Lock ya usajili</string>
<stringname="RegistrationActivity_you_must_enter_your_registration_lock_PIN">Ni lazima uingize Lock PIN yako ya usajili</string>
<stringname="RegistrationActivity_incorrect_registration_lock_pin">Lock PIN ya usajili sio sahihi</string>
<stringname="RegistrationActivity_you_have_made_too_many_incorrect_registration_lock_pin_attempts_please_try_again_in_a_day">Umefanya majaribio mengi ya PIN ya Usajili yasio sahihi. Tafadhali jaribu tena baada ya siku.</string>
<stringname="RegistrationActivity_registration_of_this_phone_number_will_be_possible_without_your_registration_lock_pin_after_seven_days_have_passed">Usajili wa nambari hii ya simu utawezekana bila Nenosiri lako la Usajili baada ya siku 7 tangu nambari hii ya simu ilipokuwa hai kwenye Signal. Una siku%d zilizobaki.</string>
<stringname="RegistrationActivity_registration_lock_pin">Nambari siri ya usajili</string>
<stringname="RegistrationActivity_this_phone_number_has_registration_lock_enabled_please_enter_the_registration_lock_pin">Nambari hii ya simu ina Lock ya Usajili iliyowezeshwa. Tafadhali ingiza Nenosiri la Usajili</string>
<stringname="RegistrationLockDialog_registration_lock_is_enabled_for_your_phone_number">Lock ya Usajili imewezeshwa kwa nambari yako ya simu. Ili kukusaidia kukariri Nenosiri lako la usajili, Signal itakuuliza mara kwa mara ili ulithibitishe.</string>
<stringname="RegistrationLockDialog_registration_lock_helps_protect_your_phone_number_from_unauthorized_registration_attempts">Usajili Lock husaidia kulinda nambari yako ya simu kutokana na majaribio ya usajili yasiyoidhinishwa. Kipengele hiki kinaweza kulemazwa wakati wowote kwenye mipangilio ya faragha yako ya Signal</string>
<stringname="RegistrationLockDialog_the_registration_lock_pin_must_be_at_least_d_digits">Nambari ya siri ya Usajili lazima iwe na angalau nambari%d.</string>
<stringname="RegistrationLockDialog_the_two_pins_you_entered_do_not_match">Nambari mbili za siri ulizoingiza haziendani.</string>